Ukisikiliza logic za wana kigoma utawaonea huruma sana.utaomba reli ifufuliwe mapema il awaweke kituo cha usaili na orientation kabla hawajaingi dar. Mtadhani mzaha ila wabongo wengi hawan amfunzo ya msingi ya kukaa mezani kwa chakula, kutumia vyoo, kupiga mswaki, kujibu maswali , kujitambulisha na kutambulisha wengine.1; Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. 2;Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, 3; Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania. 4;Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, 5;Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana 2;wanakigoma wameonewa sana....."na nani???wanaungwa mkono kila kona ya nchi.........na nani???hao waliowaonea ndio wanaowaunga mkono? 3 Afrika kusini,ujerman na Malasia wanataka kuona rais kijana Tanzania...........wao wana rais vijana?ndio wanaopiga kura Tanzania??wanataka kijana kwa maslah ya nani? 4;Vyama vyote vya siasa wanataka rais kijana........so CCM-Membe?mana ndo afadhal ktk wanaotajwa had sasa..NCCR-Kafulila??TLP??au wote wamesema wanamtaka Zitto? 5;Kikwete mwenyewe??????WTF Hii haiez kua kauli ya Kafulila achen kumpaka matope mheshimiwa.
kazi kwenu mimi nashughulikia mdhamana wa sheikh ponda sasa kama mtu anatoka kigoma ni mrundi hata sheikh ponda ameambiwa ni mrundi mbona DR SLAA NI MUIRAQ AMETOKA BAGHDAD
1.hizo nchi zenyewe mbona hawachagui maraisi vijana kama raisi kijana kwao ni muhimu sana......afrika kusini Malema yuko wapi wampwe uraisi basi....hao wajerumani Chancellor ni kijanamaneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma
" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. 4.Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. 1.Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.2.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, 3.Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
----------------------------------
Edward Lowassa For President 2015
maneno ya kafulila jana jioni hapa dodoma
" huu mjadala watu kukana hauna maana kabisa. wote wanaokana ndio wapiga debe wakubwa. waliyasema haya wanayoyakana. ni unafiki ndio unaowasumbua na uoga. kabla ya kuondoka, wote tulikaa pale sinza na kwa pamoja wakasema wanamuunga mkono, tukafika Kigoma wakarudia maeno yale yale ya kumuunga zitto. Iweje leo wanakana? Asilimia 85% ya wabunge wanamuunga mkono zitto kugombea urais. Wana kigoma tumeonewa sana. Muda umefika kuwepo usawa katika uongozi wa hii nchi. Hatuwezi kuwa wasindikizaji siku zote, wakati uwezo tunao. Tunaungwa mkono kila kona ya nchi na hata nje ya nchi, na kama ni demokrasia 2015 rais na makamu wake lazima watokee Kigoma. Rais wa Tanzania, Afrika Kusini, ujerumani na Malaysia wote wanataka umuona rais kijana Tanzania.Vyama vyote vya siasa humu nchini wanamtaka rais kijana, Kikwete mwenyewe anamtaka atakayemrithi awe kijana"
Si vibaya kwa mtu kunuia kuwania urais kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe hata kama ni za kikanda, ukabila na udini lakini si sahihi kushawishi watu kumchagua mtu kwa ajili ya sababu hizo nje ya sababu ya kuliinua taifa letu kiuchumi, kisiasa na kijamii. Yaani maendeleo kwa taifa.
Kama kuna mtu anahisi anauwezo wa kutuongoza atushawishi kwa uwezo wake juu ya namna gani hatatutoa hapa tulipo kama taifa na kutufanya kujivunia Tanzania yetu kwa kila mmoja wetu kufaidi rasilimali za nchi yake kwa nafasi yake kupitia huduma mbalimbali za kijamii zinazotolewa na serikali na na fursa za mtu kujiendeleza pale alipo kadri atakavyo kwa uwezo wake katika kusatawisha maisha yake na ya taifa kwa ujumla.
Hoja ya nani awe raisi ijengeni kupitia misingi hiyo kama mnaamini flani anastahili kuwa raisi wa nchi hii mtaeleweka bila shida na kupata sapport kubwa kwa umma wa watanzania na si vinginevyo.