David Kafulila awatakia Watanzania X-MAS njema

Shekaina Glory

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
180
Reaction score
85
Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:-

Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo. 🙏
Ni wakati wa kujitafakari, kuomba kwa dhati, na kuombea Taifa letu pendwa 🇹🇿
Tuombee Tanzania ivuke changamoto zote na iendelee kusonga mbele katika safari ya kujitafuta, kujijenga na kufikia haki, usawa na ustawi wa wananchi wake.
Pamoja tujenge Tanzania imara, yenye nguvu Afrika na duniani.

#Tanzania Moja na Imara
#MaombiKwaTaifa
#Umojawetu
#Amani yetu
#Maendeleo yetu
#TanzaniaKwanza
#AfricaRising
#Hope
 
Nawatakia kheri ya Krismasi wale wote waliopata madhara na wengine waliopoteza wapendwa wao siku za 29 na 30 Octoba, kila damu iliyomwagwa italipwa.
 
X mass ni kitu gani mjuba? Andika chsistmas/krismasi ndio neno sahihi. X mass ni kitu kingine kabisa cha giza
 
Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:-

Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo. 🙏
Ni wakati wa kujitafakari, kuomba kwa dhati, na kuombea Taifa letu pendwa 🇹🇿
Tuombee Tanzania ivuke changamoto zote na iendelee kusonga mbele katika safari ya kujitafuta, kujijenga na kufikia haki, usawa na ustawi wa wananchi wake.
Pamoja tujenge Tanzania imara, yenye nguvu Afrika na duniani.

#Tanzania Moja na Imara
#MaombiKwaTaifa
#Umojawetu
#Amani yetu
#Maendeleo yetu
#TanzaniaKwanza
#AfricaRising
#Hope
Jamaa kapoa sana siku hizi.

Hovyo kabisa hatutaki kumsikia akitutakia kheri.
 
Anakula keki ya Taifa bila "Mawaa" ya Ubunge. Alikuja Moto sana akafanyiwa figisu wakapanda dau, ila all in all kichwani yupo smart!!
 
Back
Top Bottom