Huyu bibi harusi anaitwa kamanda Jesica David Kishoa.Ni mwanachadema mpambanaji sana.Kama unataka picha zaidi za uzuri wake ingia fb usearch hilo jina.
Hongera sana mkuu Kafulila david kwa kufunga ndoa takatifu na mtoto mkareee sana.
Baada ya kazi nzito ya kukamta majizi ya pesa za wananchi katika akaunti ya ESCROW, hatimaye mkuu kafulila aamua kujipongeza kwa kuvuta jiko lake la kitambo kirefu. Ila usisahau na ile ishu yetu ya ESCROW.
Picha:
Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam.
Mbona uso wa huyu dada umekomaa kama wa kafulila?
View attachment 204696
huyu binti Kipindi alizinguana na Mwigulu Nchemba
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/508244-onyo-jesca-kishoa-wa-chadema-iramba-viongozi-na-chama-chako-wameshindwa-huu-mziki-5.html
Halafu pia ni Member mwenzetu wa JF cc: jesca kishoa
Mbona uso wa huyu dada umekomaa kama wa kafulila?
Radhi ya nini mkuu hebu cheki vzuri hizo picha
Hongera tumbili
Kwanini tumbili haku chana nywele?