chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.
Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.
Vipi Zuberi Zitto Kabwe alishaoa jamani au anataka kulitumikia taifa kwanza!!!!
Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.
Vipi Zuberi Zitto Kabwe alishaoa jamani au anataka kulitumikia taifa kwanza!!!!
Anamuoa Jesca Kishoa wa Chadema. Ukawa kama kawa
Naona Manyerere umeamua kutoa ya moyoni vp kamgao hakakukupitia na ww ni mashuhuri sana kwa bahasha za mafisadi
Kila la kheri TUMBILI...
Mpaka kaka mkubwa mzee wa gongo atakapoungamaKaribu kwenye ulimwengu wa Ndoa,Bado Brother Z yeye sijui lini.!!
tumbili ana ukuni
Baada ya kumkosa chifupa anachukua bulaya! Chezea mbujimai wewe, chezea kigoma! Chezea....Vipi Zuberi Zitto Kabwe alishaoa jamani au anataka kulitumikia taifa kwanza!!!!