Na hata Wakorea wana utaratibu huo.Wewe ndio taahira wa kiwango Cha lami,
Kutwa kupinga kila kitu chema Cha Serikali,
Sasa mbona ulichokisema ndicho alichosema Kafulila?
Mpina anapotosha Umma kwa masilahi yake mwenyewe,
Sio pesa zote za Mkopo zinazoingizwa kwenye akaunti ya hazina ili liko wazi,
Hata WB na IMF mara nyingi wanalipa Mkandarasi directly,
Maana yake hizo pesa hazitapita hazina na ndicho anachokisema Mpina,
Ila Watanzania wajue hakuna Senti moja ya Mkopo imeliwa na mtu binafsi kwa matumizi binafsi