Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,197
- Thread starter
- #101
Kuna chama Cha rushwa kama CHADEMA?Huwezi kuichukia rushwa ukiwa ndani ya mfumo wa serikali ya ccm. Hujitambui wewe. Viongozi na watendaji wote wa taasisi za umma ni wala rushwa. Ndiyo maana hata watumishi wa chini wote kwenye taasisi za umma wanapokea rushwa kwa kwenda mbele. Kafulila yeye ni nani? Au ni Malaika? Nchi zote duniani zilizofanikiwa kutokomeza au kwa kuipunguza rushwa to an acceptable level walitunga sheria kali ikiwemo na kifo kabisa. Rushwa haikemewi kwa matamko kama ya kina Samia na chawa wake, it's the process of judiciary reform and other government instruments.