Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,490
- 151,694
This logical fallacy is called ad hominem.Kafulira hawezi fanya huo upuuzi Kwa sababu Mpina anahitani jibu la Jumla tuu la Elimu kwake na Kwa Umma.
Hapa kuna hoja kubwa zaidi ya Mpina, lakini wewe hujaweza kuiona hoja umeishia kumuangalia Mpina.
Hapa kuna hoja ya uwajibikaji, uwazi, kuna uhasibu unatakiwa kunyooshwa.
Haya mazungumzo inawezekana kayaanzisha Mpina, lakini, ni mazungumzo ya kitaifa watu wote wanayaangalia.
Kwa hivyo, inabidi muangalie kujibu hoja na si kumjibu mtu.
Hoja ya namba hujibiwa kwa namba.
Jibu la Kafulila bado limepwaya kwa sababu halina namba.