David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

Aliyekuwa mbunge wa Kasulu Kigoma na mwanachama wa Chadema Mh. David Kafulila amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda aonyeshe vyeti vya elimu yake ili nchi iendelee na mambo mengine

Kafulila pia ameshangazwa na ukimya wa mamlaka ya uteuzi na wizara ya elimu na vyuo alivyosomea Makonda. Kwa kawaida vyuo alivyosomea Makonda vinatakiwa kuchukua hatua kupata uhakika wa ukweli wa jambo hili ili hatimaye vifute vyeti vilivyomtunuku Makonda kwa kuwa hakuwa na sifa za kudahiliwa.

David Kafulila amemtaka Makonda ajiuzuru kama hana vyeti ili hatua za kisheria zifuate

Sasa Bwana kafulila kweli kafulia. Mbunge kabisa anasema kiongozi wa serikali aje insta au jf kuonyesha vyeti. Du. Hii kali. Siasa is really a dirty game. Angeenda yeye Necta kureport au mahakamani nk. Lakini kuja mitandaoni. Mhhhh. Sio kosa lake ni akili zake nyingi kujua wtz wengi ni tunatumika bila kujua tunaowatumkia wanapiga cheers kila siku.
 
Salam wakuu......

Zitto alipokuwa anagombea ubunge mwaka 2005 wapinzani wake waliibua hoja kua hajasoma, zitto alionyesha vyeti vyake na hoja hiyo IKAFA.

TAFAKARI (1)

Mtu yuleyule aliyeisifia serikali kwa kuwafukuza kazi watu waliofoji vyeti ndo huyohuyo anamtetea DAUDI leo. UNAFIKI!!!!!!!!!!!!

TAFAKARI (2)

Hoja hapa sio DAUDI kupata sifuri,mbona hata ole sendeka anayo sifuri safi kabisa lakini pia ni RC?? Hoja hapa ni kiongozi kuiba cheti.....

TAFAKARI NA DAVID KAFULILA

View attachment 478982

Acha unyani unyani wewe umesoma.

mr mkiki
Acha matusi, hajatukana mtu mleta mada
 
We ni panya maana unatetea Vila.za wenzako
 
Sasa Bwana kafulila kweli kafulia. Mbunge kabisa anasema kiongozi wa serikali aje insta au jf kuonyesha vyeti. Du. Hii kali. Siasa is really a dirty game. Angeenda yeye Necta kureport au mahakamani nk. Lakini kuja mitandaoni. Mhhhh. Sio kosa lake ni akili zake nyingi kujua wtz wengi ni tunatumika bila kujua tunaowatumkia wanapiga cheers kila siku.

Kuna tuhuma dhidi ya kiongozi ambazo zinaonekana ni kweli alafu wewe unatetea? Bashite alikuwa anaitwa watu bila evidence alafu ndio wanaenda ku-search manyumbani. Kwanini unatetea upuuzi huu? Unapenda kuonewa? Unapenda kufuga miungu watu? Wewe unahisi hakuiba vyeti kasingiziwa?
 
Salam wakuu......

Zitto alipokuwa anagombea ubunge mwaka 2005 wapinzani wake waliibua hoja kua hajasoma, zitto alionyesha vyeti vyake na hoja hiyo IKAFA.

TAFAKARI (1)

Mtu yuleyule aliyeisifia serikali kwa kuwafukuza kazi watu waliofoji vyeti ndo huyohuyo anamtetea DAUDI leo. UNAFIKI!!!!!!!!!!!!

TAFAKARI (2)

Hoja hapa sio DAUDI kupata sifuri,mbona hata ole sendeka anayo sifuri safi kabisa lakini pia ni RC?? Hoja hapa ni kiongozi kuiba cheti.....

TAFAKARI NA DAVID KAFULILA

View attachment 478982

Acha unyani unyani wewe umesoma.

mr mkiki
Sisimizi anyamaze
 
Samahani huenda natoka nje ya mada.
Kuitwa Mh hukoma wapi? Au once Mh. always Mh.nalichukia sana hili neno.hawa viingozi wetu wa kisiasa watumie ndg kama hawana vyeo vya taaluma.
N.B nampenda na kumkubali sana kafulila kwa uelewa wake wa mambo na uwezo wa kujenga hoja.
 
Angeanza na Mbowe
tungemuona zimo
ila huyo kaishiwa
anatafuta nitoke vipi!!
 
kafulila kumbe na wewe ni wale wale wanaofanyia kazi habari za mitandaoni? hizo ni hasira za kushindwa.kuna watu wameenda kolomije,wamefuatilia hata cheti hawajakipata,wewe ndo utaweza?
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
Yaani kashfa ya richmond unataka kuifananisha na hili jambo la kipuuzi ambalo halihitaji hata siku mbili kujua ukweli??! Hapa kuna kitu ndio maana hata system imepigwa ganzi kila mtu mkali anasema aulizwe wa juu yake!! Weka vyeti mezani wabaya waaibike kama vipo lakini!!
 
Sasa Bwana kafulila kweli kafulia. Mbunge kabisa anasema kiongozi wa serikali aje insta au jf kuonyesha vyeti. Du. Hii kali. Siasa is really a dirty game. Angeenda yeye Necta kureport au mahakamani nk. Lakini kuja mitandaoni. Mhhhh. Sio kosa lake ni akili zake nyingi kujua wtz wengi ni tunatumika bila kujua tunaowatumkia wanapiga cheers kila siku.
ni kweli,ndiyo maana hata ktk siasa muone anavyo tapatapa.
 
Huyu kafulila ana matatizo sana katika ubongo wake.

Yaani bado watu wanaishi kwa Mazoea.

Ukweli ni kua:-

Kupata Zero ni tatizo, tena tatizo kubwa sana.

Zero.ni sasa na umeishia elimu ya Upe.(universal primary education(i mean shule ya Msingi).

Kwa mh. Olesendeka kupewa U-RC angali ana sifuri kichwani mwake ni Kosa kubwa sana, na kosa hili limefanywa katika awamu hii ya mapinduzi ya viwanda. Shame to our country...

Ndalichako alipaswa kulivalia njuga swala hili ikiwemo Olesendeka naye aachie ngazi. Period.

Iweje system ijae bashite?

Pili, Daudi hana cheti, unamtakaje akitoe wakati hana?
 
Angeanza na Mbowe
tungemuona zimo
ila huyo kaishiwa
anatafuta nitoke vipi!!
Mbowe ni mkuu wa mkoa gani? Au ana cheo gani serikalini? Hii ni sera ya serikali kahakiki vyeti vya watumishi wote wa umma. Serikali itakapoanza kahakiki vya wenyeviti wa vyama vya upinzani tutaanza na Mbowe, lakini sasa hivi mwambieni Bashite aache kulialia aweke vyeti! Sawa motojuu!
 
Back
Top Bottom