Siyo mtu mmoja mmoja anyeruhusiwa kuwahamasisha wanachi kutotii sheria ndogondogo huo ni uhainiMkuu,nikiri kwanza kuwa mimi ni Wakili ingawa sijui kama ni mzuri au la. Mkuu,masuala la kijamii huongozwa na sheria. Zaweza kuwa Sheria zitungwazo na Bunge au zile ndogondogo. Masuala haya hayapaswi kuendeshwa kwa kauli za viongozi.
Kimsingi,serikali ina wajibu wa kujenga miundombinu mbalimbali kwa wananchi. Kisheria,mwananchi hana wajibu wa kujenga miundombinu kwa njia ya kuchanga. Sababu ni kuwa mwananchi si mkusanya kodi,mtunza fedha na mpanga mipango.
Hatahivyo wananchi wanaweza kuridhia kuchanga michango mbalimbali. Si kwa njia ya kushurutishwa. Wanapaswa kushawishiwa na kuombwa kuchanga.
Asante Mkuu
hivi ni haki kuchangia maendeleo wakati tunalipa kodi,vip na hii kisheria imekaa vipi mahakamani
Kuuliza ni akili matope,kwanza sijakuuliza wewe...na wala sina mafungamano na wewe kwanini ujilete kwa yasiyo kuhusu,nimemuuliza PETRO E.Akili matope hiyo
mie mwenyewd hapa kwetu nimehasisha wasichangie waje wanikamate wakitaka wanipm ni wape namba zangu.
Nafikiri suala si la wananchi wa pale wanalipa kiasi gani,uzuri VAT unalipa kadri ya uwezo wako kifedha,kuwa kama matumizi yako ni makubwa basi na VAT yako itakuwa kubwa...wananchi wa kule huwezi kuwafananisha na wananchi wa Dar,Mwanza au hata Arusha,then kuna suala la viwanda kama tutaangalia uchangiaji wa kimkoa.Dar viwanda ni vingi na ni nani anatakiwa ahamasishe ili na mikoa ya pembezoni kiuchumi nayo iwe na viwanda vingi?Hapo alipokuwa akihamasisha kafulila watu wasichangie maendeleo pana walipa kodi wangapi na wamelipa shilingi ngapi kama kodi?
Una maana ya mfumo wa majimbo?Inategemea kama unataka maendeleo ya haraka au la kama ikiwa kodi hazitoshi.
Kigoma inabidi wachangie.Ni katika mikoa inayonyonya sana mikoa mingine.Nenda kaangalia mkoa mzima wa kigoma unachangia kodi zote shilingi ngapi TRA halafu angalia huduma kama mabarabara,madaraja n.k waliyojengewa yamegharimu shilingi ngapi.Hizo zilizozidi zimetoka kwa walipa kodi wa mikoa mingine.
Iko haja ya kupitisha sheria kuwa kila mkoa utumie kodi zake tu halafu tuone kigoma watakuweje kimaendeleo.
Hapo tu wameshatunyonya vya kutosha mikoa mingine wasitupandishe hasira hawalipi kodi au kodi wanayolipa kidogo halafu halafu hata kuchangia maendeleo yao hawataki.
Hapo alipokuwa akihamasisha kafulila watu wasichangie maendeleo pana walipa kodi wangapi na wamelipa shilingi ngapi kama kodi?
.Dar viwanda ni vingi na ni nani anatakiwa ahamasishe ili na mikoa ya pembezoni kiuchumi nayo iwe na viwanda vingi?
Una maana ya mfumo wa majimbo?
Michango ni jambo lingine na Escrow ni habari ingine acha akamatwe tuu amegeuza huo mtaji wa kisiasa
hapo ulichoandika ni upuuzi mtupu, ina maana hapo kigoma wananchi hawalipi kodi? Yaani mafisadi waibe mabilioni halafu wananchi wanyanyaswe kwa mchango wa maabara, hilo sio sawa kamwe.Inategemea kama unataka maendeleo ya haraka au la kama ikiwa kodi hazitoshi.