Hivi mbona mnaisakama sana CHADEMA..si na wewe uanzishe chama chako ...ndio kafukuzwa na kama ni NGO ya Mbowe then what??nenda chama ambacho sio NGO ya mtu..
kwani mna chama? Mimi najua ni saccoss.nenda mwana kwenda..tuachie chama chetu
Kwa ushauri huu nakubali kabisaa kuwa CHADEMA ya Mbowe ni NGO.
Mbowe and Mtei have to go for CHADEMA to survive.
kwani mna chama? Mimi najua ni saccoss.
kwani mna chama? Mimi najua ni saccoss.
Kanda2,
Mkuu mimi nina hakika kabisa kwamba mabo yote haya hayatokei bure au kwa mkono wa Mbowe isipokuwa kuna Uhasama umeingizwa ndani ya Chadema.
kama unakumbuka mwaka jana Chadema walikuwa na tatizo hili kubwa sana na Mzee Mtei alisema wazi kwamba wamo watu wameingia ili kukichafua chama.
Na moja ya mbinu inayotumika ni kama hii..
Kafulila hana ugonvi na Mbowe isipokuwa kuna watu wapambe wa Mbowe ambao kazi yao ni kumtafuta yeyote ambaye anaibuka kuwa pingamizi kwao. Asikudanganye mtu hawa wote wanaopiga kelele ni NJAA tu, hakuna mtu anataka Uongozi Chjadema pasipo kutazama mafao. ndio maana unaona wakihoji sana matumizi ya fedha, ni hulka yetu kutokuaminiana na kweli ukimuamini Mbogo ktk fedha umeumia pia. Kifupi hakuna njia ya mkato kwa watu maskini inapofikia swala la fedha.
Mimi nipo karibu sana na watu wanaomfahamu Mbowe na woite wanakiri kwamba watu wanaommaliza Mbowe ni wapambe wake toika ktk biashara zake hadi kisiasa..Hawa ni vijana wa mjini wanaomfahamu Mbowe vizuri sana na pengine hujawa naye karibu kuweza kumfahamu vizuri Mbowe.
Nimesoma hoja nyingi sana hapa JF.. zote zinaandikwa na watu wenye chuki ya kimakundi, wapo washabiki wa Zitto kina Omar na wapo washabiki wa upande wa pili. Vita hii inafanana kabisa na vita ya Mwakyembe na Mwakalinga ambao wao wenyewe hawasemi kitu isipokuwa washabiki wao ndio wanazidisha kujenga chuki baina ya watu hawa wakifiria kwamba wanamjenga mgombea wao.
Kwa wenye akili ya kufikiri wanajua fika kwamba hapa pamejaa chuki na Ubinafsi na sii kwa maslahi ya Taifa..
Kafulila kaondoka na siku zote matukio kama haya yana sura mbili..Ukweli hatuwezi kuufahamu pasipo kusoma alama.
mie nimechoka pale aliposema kuwa chadema ina njia mbili za kumuondoa mtu uanachama ya kwanza kujiuzulu mwenyewe au ya pili unatafutiwa kifo kama alivyofutwa uanachama chacha wangwe kwa njia hii ya pili.
kafulila kaona aanze kwa kutumia njia ya kwanza kuliko kusubiri ajali.
nimeona kale kazee ka chadema kako online sijui katajibu hapa?
Kumbuka "hako" kazee kana busara sana, ukishaanza KEJELI bila hoja ya msingi "hakatokujibu"
By the way ni kama baba yako kwanini haumweshimu?, kutofautiana kiitikadi za kichama hakumfanyi mtu aache kuheshimu mila zetu za kiafrika.
Jadili bila jazba na kejeli, nawe utajibiwa.
Kumbuka "hako" kazee kana busara sana, ukishaanza KEJELI bila hoja ya msingi "hakatokujibu"
By the way ni kama baba yako kwanini haumweshimu?, kutofautiana kiitikadi za kichama hakumfanyi mtu aache kuheshimu mila zetu za kiafrika.
Jadili bila jazba na kejeli, nawe utajibiwa.
Well, tatizo la wanasiasa wetu walio wengi ni kwamba siasa kwao ni kazi. Akinyang'anywa cheo maana yake ni kwamba wamemnyang'anya namna ya kuishi hapa mjini. Sasa mdogo wangu Kafulila naye inaonekana yumo kwenye kundi hilo. Taarifa tulizo nazo ni kwamba anaenda NCCR na ameahidiwa mambo kedekede ikiwemo kupangishwa nyumba na mshahara wa kila mwezi. It is not about philosophical and policy issues; it is about instrumental needs! What a shame!
Chadema kwa sasa ni taasisi. Huu ni mchujo mzuri, watabaki wanasiasa wa kweli na wenye mapenzi ya kweli ya kufanya siasa na kuleta ukombozi katika nchi hii. Hatukatishwi tamaa, tunaendelea kukanyaga kwenda mbele hadi kieleweka. Tutaweweseka lakini hatuanguki na tunasonga mbele.
Kila la heri mdogo wangu Kafulila huko uendako. Uwe makini sana huko, na uangalie usije ukawa unaruka mkojo....but then it is too late, you have already made your decision. Best wishes!
Umejuaje Mkuu?? Au Mbowe ni Mesiah asiyeweza kuzua zogo??Kanda2,
Mkuu mimi nina hakika kabisa kwamba mabo yote haya hayatokei bure au kwa mkono wa Mbowe isipokuwa kuna Uhasama umeingizwa ndani ya Chadema.
Kwa nini tumuamini Mtei kwenye issue inayomhusu mume wa bintiyake? Kwani lazima watu wapandikizwe, ina maana viongzi kama Mbowe, Slaa hawakosei?kama unakumbuka mwaka jana Chadema walikuwa na tatizo hili kubwa sana na Mzee Mtei alisema wazi kwamba wamo watu wameingia ili kukichafua chama.
Na moja ya mbinu inayotumika ni kama hii..
Mkandara, haya umeyajuaje wakati tumeambiwa Mbowe mwenyewe ndiye aliyempiga vita Kafulila?Kafulila hana ugonvi na Mbowe isipokuwa kuna watu wapambe wa Mbowe ambao kazi yao ni kumtafuta yeyote ambaye anaibuka kuwa pingamizi kwao.
Kumsingizia kila mtu kuwa yupo kwa ajili ya njaa yake, ni matusi kwa wengi wenye elimu zao lakini wamejitolea kufanya kazi za chama bila malipo au kwa malipo kiduchu.Asikudanganye mtu hawa wote wanaopiga kelele ni NJAA tu, hakuna mtu anataka Uongozi Chjadema pasipo kutazama mafao. ndio maana unaona wakihoji sana matumizi ya fedha, ni hulka yetu kutokuaminiana na kweli ukimuamini Mbogo ktk fedha umeumia pia. Kifupi hakuna njia ya mkato kwa watu maskini inapofikia swala la fedha.
Yaani kama baba anakafundisha adabu katoto kake LoLO! Asante sana Fairplay
Umejuaje Mkuu?? Au Mbowe ni Mesiah asiyeweza kuzua zogo??
...
Tatizo Mbowe na ruzuku basi!
Kama ilivyo rostam na pesa za bot?
Kama ilivyo rostam na pesa za bot?
Sawia kabisa!
Kwa hiyo utabadili mawazo yako na kukubali kuwa rostam ni mwizi na kaiibia benki kuu ya wananchi wa tanzania?