PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
hahahaha mbuzi kala mkeka....Mbatia chalii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
inanishangaza kuona ccm ina iurumia sana UKAWA kunani?Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?
Mume wa tulia ni mkurugenzi mkubwa sio jobless anayetegemea mkewe alipwe posho za vikao vya bungeni halafu alete wakanunue unga nusu kilo na robo na fungu LA mchicha waleKwa maana hiyo unataka kusema Dr. Tuliza Ackson hafai kuolewa au atakayemuoa atakuwa Bwege?
Ukikosa Ubunge ndiyo unakuwa Jobless. Kwa ivo kumbe CCM kuna majobless wengi sana. Maskini Mzee Wasira kumbe ni Jobless!Mume wa tulia ni mkurugenzi mkubwa sio jobless anayetegemea mkewe alipwe posho za vikao vya bungeni hawana alete wakanunue unga nusu kilo na robo na fungu LA mchicha wale
Huu mfano unaashiria kwamba wewe ni "Mzee wa Nyatu nyatu"?Au tuchukulie mfano nyumbani kwako unakaa na wanawake watatu.. Mkeo, mdada wa kazi na mdogo wake mkeo!
Kuna haja gani kila siku ulale chumbani kwako tu wakati nyumba ina vyumba vingi [emoji23] [emoji23]
Kweli siasa "SIHASA"
Hayo yako huko kwenu, mke kwenu ni kitega uchumi na kama hana kazi wakati mwingine mnapiga mpaka analazwa hospitali mahututiKahamia kwa mkewe si unajua mkewe ni mbunge wa viti maalumu Chadema.Mama akiwa na kazi au nyumba mwanaume Ukawa huna kazi au nyumba kuhamia kwa mke ili maisha yaendelee si kitu cha ajabu.Na kila ukiamka huko ulikohamia lazima kila asubuhi umwamkie mke Shikamoo mke wangu maana ndie anakuweka mjini.
Kwani kafulila anafanya shughuli IPI ya kumpa kipato asije kimbiwa na mke kwa kushindwa kununua kilo ya unga na walau fungi LA dagaa LA elfu mojaUkikosa Ubunge ndiyo unakuwa Jobless. Kwa ivo kumbe CCM kuna majobless wengi sana. Maskini Mzee Wasira kumbe ni Jobless!
Sio kuchukuliana Bali cdm amefaikisha malengo ya kuviuwa cuf na NCCR kwa pigo moja. Prof ndio anataka kuwaharibiaUKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!
Acha kufuatilia maisha ya watu. Kwa mfano kabla ya Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wewe ulijua alikuwa anafanyakazi gani?Kwani kafulila anafanya shughuli IPI ya kumpa kipato asije kimbiwa na mke kwa kushindwa kununua kila ya walau fungi LA dagaa LA elfu moja
Haka kajamaa ni kichwa sana..nimependa alivyotoa sababu ya nzuri kabisa tena yenye mashiko na inaweza kuimarisha zaidi UKAWA.Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Aisee, unatunza kumbukumbu!Sisimizi karudi Chadema!!