David Jairo wa IKULU

simjui sana Jairo ila inaonyesha jamaa anipeleka nchi kishkaji sana achilia mbali pengine competence ya mtu lakini tuangalie mlolongo wa washkaji zake jamaa yetu
hawezi kuwawajibisha, hiyo ni weakness ya kila binadamu kuoneana aibu

noma sana hili nchi linavyoongozwa!!!
mimi nasikitika sana haya mambo ukiyasikia mpaka nataka nikachukue msitu wangu nilima kilimo cha kisasa kuliko kukaa tunashuhudia uchafu wa viongozi
 


Zimevuja, David Jairo kama Katibu Mkuu mpya wa wizara ya Madini na Nishati, mara tu baada ya kuwasili wizarani hapo, amekuta gari Landcruiser nyeupe yenye mkonga ambayo ilikuwa imenunuliwa miezi mitatu na katibu aliyoendoka LAKINI yeye ameikataa ameagiza anunuliwe VX mpya. Hata baada ya kushauriwa kwamba gari lililopo ni zuri hasa ukizingatia nature ya kazi za wizara hiyo za kutembelea migodi lakini yeye amekomaa tu mpaka linunuliwe. Jamaani tumekwish hata agizo la Pinda haliwaingii vichwani
 
hakika tanzania sijui kama tutafika tutakako.uafiki umekuwa mwingi sana kwenye serikali yetu -mambo ya mtandao na saigoin kamwe ayawezi kuongoza nchi zaidi ya vilabu vy mpira km simba /yanga.
 
..JK hawezi kumtupa Jairo hata siku moja.

..hawa wameshibana kwelikweli. wametoka mbali.

..Mtawa,Jairo,na JK, ni damu-damu.

NB:

..huu uteuzi wa Jairo kwenda Nishati na Madini unaweza kuwa ni njia ya JK kuamua ugomvi baina ya washikaji zake yaani Zungu na Jairo.

..sasa both Zungu na Jairo wako ktk vitengo vya ulaji na hakuna wa kumuingilia mwenzake.
 

......umenena mtawa ndio kati ya wasaidizi wa mwanzo kabisa wa jk tangu anaingia mjini kama naibu waziri akiwa anaitwa meja kikwete......ndio anaratibu mambo nyeti binafsi ....na anajuwa siri zake zote ...ikiwemo kuwalipa makalumazl walio kwenye payroll ya mkuu/....

kwa uchambuzi wangu huyu jairo atakuwa anapigwa vita.....lakini kwa kupelekwa pale nishati lazima wabaya wake watampata tu...kwa kumchomekea...ana akichafuka yeye amechafuka jk!!!!
 


I have a dream one day my country will adopt Chinese laws and have a guy like this hanged!
 
Mbona alimtupa Lowassa?

Mods.

Kichwa cha habari hii kimepitwa na wakati Jairo hayuko Ikulu kama mlivyoweka.napendekeza kiwe Jairo amtisha MBUNGE ZUNGU,au Jairo vs Zungu Machinga Complex.
 
Daaaa!!!!!!!!!!!!!!!kazi tunayo watanzania......
 
Hivi mshikaji wake Kikwete yule dogo Dim chapombe (baba yake alikuwa balozi wa siku nyingi, amefariki nadhani, the name escapes me) aliyekuwa amezibuka sana na lugha tofauti pale foreign yuko wapi siku hizi?

Au washampiga u first secretary ma-Urusi huko.Dogo alikuwa anaongea lugha at least sita, siku moja kaja Omar Bashir watu wa MOFA wakachachawa hawana mtu anayejua kiarabu kupiga naye story dogo akajitosa, alikuwa aristocrat mzuri ila pombe nyingi.
 

mara ya mwisho alikuwa ameshauriwa na dr aache pombe lakini yeye alikuwa anatembea na "konyagi za viroba" totopak kwenye suti.
nilimuaona kwenye kontena la pale jeshini mara ya mwisho
 
mara ya mwisho alikuwa ameshauriwa na dr aache pombe lakini yeye alikuwa anatembea na "konyagi za viroba" totopak kwenye suti.
nilimuaona kwenye kontena la pale jeshini mara ya mwisho
anaitwa nani huyo kijana?
MODS KICHWA CHA HABARI KIBADILIKE.
 
Tunaomba irudishwe siasa

thread ilikuwa humu since 2009
 
Duh, nimeikubali tena JF. Hii topic ilikuwa ni 2009 na leo inajirudi live kabisa!
 
mbio za sakafuni................kanda2 kituna box sasa hiviii.kaa ulivosema...
but JK anajua kilichofanyika
 
Duh mnanikumbusha mbali sana!!.....nimeamini watoto na wajukuu zetu watasoma JF,kuna nondo za kutosha sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…