David Cameron: The New UK Prime Minister

Dont trust these conservatives,good thing zile barbaric policy za kina Thatcher hazitapita under Cameron maana hawa liberal hawatampa nafasi
 
Dont trust these conservatives,good thing zile barbaric policy za kina Thatcher hazitapita under Cameron maana hawa liberal hawatampa nafasi

Conservatives oyeeeee...oyeeeee....na huu ndio mwanzo tu. Next is America....
 
Conservatives oyeeeee...oyeeeee....na huu ndio mwanzo tu. Next is America....

Miafrika ndivyo ilivyo!!! Huyo kichaka alikaa miaka minane alifanya nini zaidi ya kuiharibu nchi na kuiacha katika hali mbaya katika historia ya nchi hiyo tangu ipate uhuru!? Sijui hata unafagilia nini kuhusu maconservative ukichukulia jinsi walivyomuacha kichaka akiiharibu nchi kwa miaka minane bila hata kutia neno. Yule Blair naye akamuiga Kichaka naye wapiga kura wakamchukia vibaya sana hata hakumaliza kipindi chake kwa jinsi alivyochukiwa kwa kuiga sera za Kichaka.
 
Miafrika ndivyo ilivyo!!! Huyo kichaka alikaa miaka minane alifanya nini zaidi ya kuiharibu nchi na kuiacha katika hali mbaya katika historia ya nchi hiyo tangu ipate uhuru!?

Mwongo na mzushi mkubwa weee! Eti hali mbaya ktk historia ya nchi tangu ipate uhuru. Unataka kulinganisha hii financial crisis ya juzi na Great Depression? Na unataka kulinganisha hali hii ya juzi na kipindi cha Jimmy Carter? Kasome historia kwanza halafu uje tujadiliane.

Sijui hata unafagilia nini kuhusu maconservative ukichukulia jinsi walivyomuacha kichaka akiiharibu nchi kwa miaka minane bila hata kutia neno. Yule Blair naye akamuiga Kichaka naye wapiga kura wakamchukia vibaya sana hata hakumaliza kipindi chake kwa jinsi alivyochukiwa kwa kuiga sera za Kichaka.

Hivi kumbe Blair naye alikuwa Conservative eeeh...sikujua hilo. Asante kwa kunihabarisha.
 
Mwongo na mzushi mkubwa weee! Eti hali mbaya ktk historia ya nchi tangu ipate uhuru. Unataka kulinganisha hii financial crisis ya juzi na Great Depression? Na unataka kulinganisha hali hii ya juzi na kipindi cha Jimmy Carter? Kasome historia kwanza halafu uje tujadiliane.



Hivi kumbe Blair naye alikuwa Conservative eeeh...sikujua hilo. Asante kwa kunihabarisha.

Hujui maana ya kuiga tangu lini? Tafuta kamusi.
 
Anayetakiwa kusoma history ni wewe unayesifia maconservatives pamoja na miaka minane ya kichaka kuiacha nchi ikiwa katika hali mbaya sana kuliko kipindi chochote tangu ipate uhuru 1776. Miye kwenye history niko bomba na kusema Blair kamuiga Kichaka na sera zake haina maana kwamba Blair alikuwa ni conservative. Habari ndiyo hiyo.
 
Anayetakiwa kusoma history ni wewe unayesifia maconservatives pamoja na miaka minane ya kichaka kuiacha nchi ikiwa katika hali mbaya sana kuliko kipindi chochote tangu ipate uhuru 1776.

Thibitisha hilo kwa takwimu na ithibati nyingine.
 
acha dogo aukwae uwaziri mkuu

libero na konsevative sera zimekubaliana!!!!!!!!!

hiyo ndo siasa
 
Ingawa Conservatives wako tough kwa imigrants lakini wako fresh kwenye mambo ya uchumi nawakubali.
 
mr cameron ana msafara wa gari tatu tu,anaendeshwa bila ving'ora ananasa kwenye foleni,anasubiri red light/junction kama mtu mwingine yeyote!!!hawa viongozi wetu sijui nani anawafanya wawe na msafara kama wa rais wa dunia!!!

Nakumbuka Tony Blair alikuwa anadrive mwenyewe mara kadhaa akienda kwa Malikia!

Yaani unawaangalia wakwetu na mabio wanayotimka nayo barabarani unaomba mungungu isitokee ajali maana hatakufa peke yake! Na itakuwa hasara kubwa kwa walalahoi,,,magari yote yale yakumbwe na ajali kwa mpigo!
 
slide_6772_89841_large.jpg


Prime Minister David Cameron and his wife Samantha wave from the steps of Number 10 Downing Street on May 11, 2010


slide_6772_89844_large.jpg



slide_6772_89850_large.jpg



slide_6772_89857_large.jpg


Cameron drinking a pint of Guinness


 
slide_6772_89846_large.jpg


Cameron leaving his London home.


slide_6772_89864_large.jpg



slide_6772_89852_large.jpg


Cameron running along the seafront in Blackpool.


slide_6772_89872_large.jpg


Cameron on holiday in Cornwall in 2008.
 
slide_6772_89858_large.jpg



slide_6772_89847_large.jpg


Cameron celebrating retaining his parliamentary seat with Monster Raving Loony William Hill Party candidate Alan Hope last week in Witney, England.


slide_6772_89854_large.jpg



slide_6772_89855_large.jpg


Cameron and his wife Samantha with his sister Clare and her new husband Jeremy Fawcus on their wedding day last month.
 
slide_6772_89861_large.jpg


Cameron speaking during the first televised general election leader's debate.


slide_6772_89867_large.jpg


Cameron touring the Kabul Military Training Center in Afghanistan.


slide_6772_89842_large.jpg


Queen Elizabeth II greeting Cameron at Buckingham Palace in an audience to invite him to be the next Prime Minister Tuesday.

 
slide_6772_89870_large.jpg


Cameron meeting with Obama at the U.S. ambassador's official residence in London in April, 2009.
 
Back
Top Bottom