Daudi Mwakawago afariki Dunia

Status
Not open for further replies.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi.
..Huyu mzee inasemekana hakuwa muumini wa dini yoyote wakati wa uhai wake (pagan) hata wakati wa kuapishwa enzi za JK Nyerere yeye hakushika bible wala msahafu na mwenzie Kingunge.......RIP M/kawago!!
 
Jamani Mungu akulaze mahali pema peponi. hichi kifo jamani.... juzi tu tumemwona kwenye kipindi cha Mayrose show star tv, alikuwa akituaga jamani.
 
According to michuzi blog Balozi Mwakawago hatunaye tena

 
RIP Mzee Mwakawago...........Poleni wafiwa
 
Wanajamii forum

Kuna taarifa kwamba ndugu yetu mkongwe, Comrade Daudi Mwakawago alifariki leo asubuhi katika Hospital ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Mazishi ni siku ya Jumamosi katika makaburi ya Kisutu
 
wenzako wanaamka wewe unavuta shuka.

hahaaaaa nimeshindwa nisemeje Mama 5J!!!!!!!!!!!!!!

Hivi huwa haiwezekani kuangalia thread zilizopo kabla huakurupuka na yako (duplicate)
 
RIP Mheshimiwa Balozi. Tanzania has lost one of its committed patriots.
 
RIP Mzee Mwakawago, kwa wale tuliokuwa Freetown enzi hizo akiwa USG-UNAMSIL, tutamkumbuka kwa kuitisha vikao vya watanzania nyumbani kwake maeneo ya Aberdeen, kwa kweli alituunganisha vizuri sana, ni majonzi makubwa
 
Poleni sana Familia ya Mzee Mwakawago. Mungu
Mungu ampumzishe kwa Amani.
Amina.
 
Mwanasiasa Mkongwe nchini Balozi Daudi Mwakawago amefariki dunia Jijini Dar e salaam.

Mwakawago alipata kushika nyadhifa mabli mbali za Kiasiasa nchini, Ubunge Iringa Mjini, Uwaziri, Balozi wa Kudumu UN

Msiba uko wapi angalao watakaopata nafasi wahudhurie??
 
Apumzike kwa amani.Sikubahatika kumfahamu hata chembe hata jina lake ndio nalisikia leo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…