kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
Mkuu, kuna zaidi usiyoyajua kuhusu hili. Mpe heshima yake marehemu na kama ni kuwambia watanzania NAKUHAKIKISHIA kawambia... Ni suala la muda tu!
YES, nakwambia,,, alisema. Kwa maandishi? Sijui!
did I say I was whistling... I still am..
Eti Balali amekufa? Invisible angalia tena hizo source mkuu wangu, jina lako zito sana mkuu! Angalia nia na madhumuni ya waliokupa hizo dataz mkuu!
Maana majuzi kuna mahali alionekana akibadilisha vitambulisho vya zamani vyenye jina la Balali na kuwa jina jipya la ............!, Mkuu wangu najua kuwa wewe ni kichwa, ila kwenye hili umetapeliwa na mafisadi, unajua kuwa wana sura nyingi sana!
1 + 2 + 3 + 4 = 1234???
Balali; does it make a different if he's dead or alive?
Balali; does it make a different if he's dead or alive?
...... Nilitarajia wanajambo kuruka kwa furaha kwa fisadi kuondoka. Wizi alioufanyia nchi umeua watoto wangapi pale muhimbili na kwingineko? Barabara mbovu ngapi zimeua watu? dawa mbovu kiasi gani wamekunywa watanzania, mwacheni afe tena bila huruma..
Swala la kumwonea huruma hakuna kabisa! alijua wizi alikaa kimya aliiba.
Familia yake wacha ilie tena sana kwani ilitutesa sana kwa kula jasho la masikini, tena lieni na msipate huruma ya mtu kwani nani anayemuonea huruma yule aliyefiwa muhimbili, bali mmekula fedha zote za dawa za nndugu zao. nanyi mtakufa bila heshima hayo ndio malipo ya mafisadi.
Mtakufa kama iddi amini mtazikwa kama wezi kwa kificho.
mtakufa kama mobutu mtazikwa bila heshima
watanzania watavunja makuburi yenu kwani hamtakuwa nathamani tena.
kama wanauana poa tu kwani hata wauza unga mwishowe ni kuuna.
bado anafuata Chenge, karamagi, mgonja, mkapa, mramba nk..
........Mungu mwenye huruma anasikia kilio cha waja wake. tumwombe Mungu hata kizazi chao kisile fedha zetu walizoficha ulaya.
Kifo tu ndio silaha ya masikini,Mungu tusaidie.
Siku moja watanzania wake kwa waume watakwenda kuchukua mali walizoibiwa. Mungu atawaongoza na mabomu ya machozi wala ya moto hayatafanya kazi.
Wafe wote TANZANIA IANZE UPYA.
....exceedingly interesting, walikufa mitume wa mungu ndio itakuwa Balali!!! mungu amrehemu, na mungu huyo huyo atusaidie turudushiwe vijisenti vyetu....amen!!
wkend imeanza jumanne/jumatano....memorial day wkend!!!
Balali; does it make a different if he's dead or alive?
Bandugu,
Ballali ameaga dunia. I have confirmed this and I have to keep you guys informed.
More news to follow