1.
Hapana mkuu Michael Jordan ni jina kubwa sana kwamba akitaka info yoyote alipokuwa akiishi kule Chicago, angeipata kabla ya mlalahoi kama wewe kuipata, hili ni suala la common sense sio logic zako za chooni ambazo umezizoea za kutaka kwenda kuandamana kwenye nyumba ya Balali, hivi mkuu kichwa chako kiko sawa kweli mpaka kushauri this kind of nonesense?
Hashim ni a big star habari ya utata kama hiii ambayo ni of big interest kwetu wabongo, katika kutafuta dataz kuna tunaoweza kumtumia kwa kumuomba ampigie simu Governor wa state hiyo kuhusu hii habari, usi-understimate how we get dataz mkuu huwa tunageuza mawe yote na kufika usipotegemea, lakini ningekushauri kuwa kabla hujarukia jina langu in the future hakikisha kuwa hoja yako ina angalau a common sense, kwa sababu nimeshakuambia kuwa logic zako ni very shallow kama hii uliyoiweka hapa, ni just a pure nonesense!
2.
Hapana inaelekea kuwa unamsikia tu, the man anaongea hata rais wetu at anytime, anakuja bongo kila wakati na amezungukwa na wabongo all the time isipokuwa tu akiwa anacheza mpira wake, labda wewe mkuu wangu ndio ishu za bongo zinakupiga chenga na unaonekana huna hata mahali pa ku-verfy info za bongo, kwa hiyo inabidi ulalie logic zako za chooni, mimi siwezi kum-mind a joke kama wewe mkuu that is all you are a joke, ila umegundua kuwa unaweza kuwa maarufu hapa JF kwa kujaribu kurukia rukia jina langu, ninarudia mkuu katika kutafuta dataz na info za ndani au za siri huwa tunageuza mawe yote, ishu kama hizi unahitaji kukaa pembeni tu bro!
The ishu hapa ni "kifo cha Balali" sio Filed Marshall Super Es, sasa unaona logic zinavyokupeleka pabaya wewe unafikiri inanihusu mimi, sasa kaaa pembeni ule dataz na info hapa, mimi ninasema hivi Balali hajafa, wewe unasema nini bro?
tatizo ni nini hasa? amekufa hajaaga au amekufa?
Daud Timoth Said Ballali,Halafu wandugu kuna swali moja la kuhusu dini ya Bw Balali!
Je ni Moslem ama mkristo?
Kwasababu kama ni Msilam then hakuna uwezekano wa kuonyeshwa sura wakati wa heshima za mwisho!
Na pia kama ni Muislam kwanini apelekwe Kanisani?
Kauli zingine hapa zinaashiria kama JF ina wenyewe kama ilivyo CCM. Tuonyeshwe mapema tu hayo mawe ya pembeni ili tuyakalie!
TAtizo ni kuwa tunajaribu kumfikiri Ballali kama mhalifu. So far siyo mhalifu, amekufa akiwa mtu huru kabisa. Who is to blame for that..? Kwa hiyo atazikwa kwa heshima atakazopatiwa na hakuna mtu mwenye haki ya kudai kuuona mwili wake kama ndugu zake hawataki, hata serikali haiwezi, believe me... I made my moves the whole of yesterday..
But then.. as I promised.. wait for Friday... it is just tomorrow. Ukweli utajulikana tu na sehemu nyingine ya ukweli wiki ijayo kwenye ardhi ya nyumbani kwao.
Mwanakijiji,
Sasa hasira yetu kuhusiana na EPA isiishie kwa Ballali tuu, mbona hatujataka kichwa cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, waliokuwa kwenye bodi, wanaosadikika kurudisha pesa, aliyekuwa Raisi na kuruhusu malipo makubwa kiasi hicho na wengine wengi?
You have said it all Rev. kama tusipokuwa makini tutakuwa sisi ndiyo tunawasaidia mafisadi kuwamaliza wale ambao wangetoa ushahidi. If we really need the truth we have the former Finance Minister, Permanent Secretary in the Ministry of Finance, BoT Board of Directors na hata huyu Gavana wa sasa hivi (ambaye wengine wasingependa aguswe) na yeye lazima ana vitu fulani kwa sababu alishawahi kuwa member of the Board wa BoT, kuna maMD wa Benki mbalimbali ambazo hizo pesa zilipita na kuna wazee wa kampeni ya CCM 2005. Sasa kwanini nchi nzima iambiwe kuwa Ballali ndiyo mtu pekee mwenye ukweli? Huo ni uwongo wa kutaka kuigeuza vita ya ufisadi. Kutuonyesha kwamba watu fulani wanapigana na usafi kumbe ndiyo mafisadi wenyewe. If we need the truth there a lot of people who were involved so let us demand them to talk the truth.
Mkuu kaandamane kwenye nyumba ya Balali uone kama hukulala lupango, ninasema hivi Balali yupo mzima wa afya hajafa, ndio mchango wangu katika hii topic je wewe hoja yako ni ipi maana so far siioni zaidi tu ya taarabu?
Haya tunasubiri maandamano yako kule DC nyumbani kwa Balali, what a clown!
Balali is dead , kwa wale ambao hamtaki kuamini hebu tupeni sababu kwa nini mnataka wengine waamini kuwa huyu hajakufa?
Zitawekwa picha humu juu ya atakavyokuwa akionekana kwenye geneza na pia za uchunguzi wa hospitali ...subira huvuta kheri.