Balali kafa ndio lakini nimesikitika zaidi kwamba kafa tangu ijumaa iliyopita serikali imebana habari mpka ilipoona imejulikana ndio leo BOT wanatoa kijitaarifa! Hivi watz hii serikali ipo kwa ajili ya nani?Enzi za Benm serikali ilikuwa 'out looking' rather than 'in looking', sasa tuna serikali ya kihuni ambayo inajua mwananchi ni wa kudanganya tu!! UUuuuuuuuuuuuuuwiiiiiii........shame upon the fuckin gov of JK.
Natamani kutokuwa mtz...lakini nitakuwa mm..wapi?najisikia aibu kwa upuuzi huu....Mungu angekuwa bado anaumba land zaidi ningehamia haraka ile angeumba next.....Jamani hatuwezi demand mwili wa Balali urudishwe bongo tuuone au ndo tutakubali fix hilo?
Kwa mtaji huu, ni haki kufikisha Post nyingi hizi kwa kipindi kifupi. Keep it up. though sometimes unajichanganya wewe mwenyewe........
Halafu..........., taratibu basi manake duh..........
Nani anajichangaya we kaa kushoto uslete unafiki hapa!
Eti keep it up!
Nani amekwambia watu tunakuja JF kushindania posting?
Maybe kwasababu natumia jina moja hilo hujaconsider unaleta vijimaneno vyako vya kiunafiki!
Weka wazi si kuzunguka zunguka hapa na kupiga watu vijembe vya kishoga shoga!
Kaa kushoto pls..Fast forward aint got no time..This issue here is serious than your s***!
tutaonana baada ya kandanda.
tutaonana baada ya kandanda.
tartibu mkuu! lugha hiyo
Mbona kuna mtu aliandika the N word kwenye postings kadhaa zilizopita na hamkumwambia taratibu?
Acheni hizo!
Kama mna manufaa wengine hatuna!
We're just volunteering on behalf of the OPPRESSED!
sisi watu weusi hilo n word linatuathiri vipi? usijifanye una uchungu sana kiasi cha kulazimisha hoja kwa matusi. JF is bigger and stronger na hatuwezi kuvumilia matusi. Jenga hoja isimame au endelea kuuliza maswali.
Mkuu tafadhali,
Watu weusi N word halituhusu? Linamhusu nani sasa?
Chiefmtz,
Mkapa anakuja marekani kwa kujificha utadhani muuza madawa. Hawezi kutokea hata kwa maji ya dawa......
Mkuu tafadhali,
Watu weusi N word halituhusu? Linamhusu nani sasa?
...sikwaziki mtu yeyote akitumia neno hilo dhidi yangu kwani ni mtu mweupe ndiye anafikiri litaniumiza au kwamba ni magic word ambayo inamgeuza mtu mweusi... not I.
Pamoja na taarifa nyingi mpaka za serikali na vyombo vya habari, bado ninakataa kuwa Balali amefariki, so far nasikia taarifa tu kutoka huku na kule, I mean mtu aliyekufa anweza kuleta madhara gani kusema ukweli Hospitali aliyofia? Kumtaja dakitari wake waliyezungumza naye mpaka kujua kuwa alikuwa kwenye life-support?
Halafu haiwezekani mpaka rais wetu ametuma rambi rambi kwa watu hewa au ndugu hewa wa marehemu ambao hawawezi kutajwa kuwa ni nani na wapo wapi, so far sijaamini kuwa Balali amekufa, ingawa tunaedelea kuzifuatilia kwa karibu sana dataz......., lakini haiwezekani balozi zetu zote za DC na NY zisiwe na habari za undani!
Nitakapothibitisha nitasema na ushahidi nitaweka, so far bado sijaupata lakini bado tunautafuta!
are you convinced that bila ya ballali case itakuwa solved ?? and if so, basi naweza kusema muda wote tulikuwa tunacheza cheza na kumentateini ballali !