Duuuh, wabongo nomaa hasa wanapokukomaliaBaada ya utata wa muda mrefu,uliojitokeza baada ya watu kudai mkuu wa mkoa wa D'salaam jina lake halisi ni Daud Albert Bashite na sio Paul Makonda kama anavyojitambulisha.
Hatimae Daud Albert Bashite (Zero Brain) halisi ajitokezaView attachment 1141100
Mbona amebinuka Kama anatekenywa?Baada ya utata wa muda mrefu,uliojitokeza baada ya watu kudai mkuu wa mkoa wa D'salaam jina lake halisi ni Daud Albert Bashite na sio Paul Makonda kama anavyojitambulisha.
Hatimae Daud Albert Bashite (Zero Brain) halisi ajitokezaView attachment 1141100
Kakubali ndo maana amejiobu kwa nyodo.kwahiyo amekubali kuwa yeye ni DAB