D Divele Dikalame Member May 4, 2010 77 12 Oct 21, 2012 #41 Dau ni mtu muadilifu maadamu umemtahadharisha bila shaka atachukua hatua za haraka kuweka sawa pamoja na kuwa mambo ya mapenzi ni suala la mtu binafsi
Dau ni mtu muadilifu maadamu umemtahadharisha bila shaka atachukua hatua za haraka kuweka sawa pamoja na kuwa mambo ya mapenzi ni suala la mtu binafsi
mchemsho JF-Expert Member Jun 8, 2011 3,212 867 Oct 21, 2012 #42 Huyo ndo dizaini ile wanaenda abroad kusoma halafu wanatumiwa pesa za matumizi, so pathetic
Ngambo Ngali JF-Expert Member Apr 17, 2009 3,517 1,360 Oct 21, 2012 #43 Gagnija said: MSc legal dept? I am lost. Click to expand... MSc in forensic science maybe, remember one thing " the expected never happens the unexpect always happens"
Gagnija said: MSc legal dept? I am lost. Click to expand... MSc in forensic science maybe, remember one thing " the expected never happens the unexpect always happens"
Kimbunga Platinum Member Oct 4, 2007 14,941 9,947 Oct 21, 2012 #44 JF ni jukwaa la wanyonge ambapo watu wanathubutu kunena kwa uwazi. Unadhani hii habari inawezatolewa magazetini? JF ni mtambo wa kurekebisha tabia JF ni tanuru wacheni liwaoke wenye tabia za hivyo
JF ni jukwaa la wanyonge ambapo watu wanathubutu kunena kwa uwazi. Unadhani hii habari inawezatolewa magazetini? JF ni mtambo wa kurekebisha tabia JF ni tanuru wacheni liwaoke wenye tabia za hivyo
Jay One JF-Expert Member Nov 12, 2010 16,857 16,754 Oct 21, 2012 #45 So it's possible Anna Kilango's behaviour is like her daughter.... running after men, too vocal & kujiona yupo juuu kama ANAFANYA KAZI KWA MUNGU.... I hope Dau will ACT ...
So it's possible Anna Kilango's behaviour is like her daughter.... running after men, too vocal & kujiona yupo juuu kama ANAFANYA KAZI KWA MUNGU.... I hope Dau will ACT ...
Kiraka JF-Expert Member Feb 1, 2010 3,839 3,085 Oct 21, 2012 #46 Christian Proud said: Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam. Click to expand... Why, vipi huyo Nafue? Je unasemaje TRA, BOT, EWURA, PPF etc.. acha upumbavu.......
Christian Proud said: Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam. Click to expand... Why, vipi huyo Nafue? Je unasemaje TRA, BOT, EWURA, PPF etc.. acha upumbavu.......
KIM KARDASH JF-Expert Member Sep 21, 2011 5,139 1,139 Oct 21, 2012 #47 Christian Proud said: Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam. Click to expand... lakini uzuri linafanya vizuri kama lingekua linaharibu kama mashirika mengine ya umma ingekua balaa!
Christian Proud said: Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam. Click to expand... lakini uzuri linafanya vizuri kama lingekua linaharibu kama mashirika mengine ya umma ingekua balaa!
KIM KARDASH JF-Expert Member Sep 21, 2011 5,139 1,139 Oct 21, 2012 #48 Mwita Maranya said: Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda. Click to expand... vipi kuhusu utendaji wa shirika hilo ukilinganisha na mengi mengine?
Mwita Maranya said: Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda. Click to expand... vipi kuhusu utendaji wa shirika hilo ukilinganisha na mengi mengine?