Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,072
Kuna people zinasumbua sana hasa for first time, ukiwaambia mapema utapigwa chenga hadi uchanganyikiwe ndio maana mabaharia wanatumia mbinu za kijeshi walizojifunza kwenye art of the war za kumu attack enemy kwa kumshtukiza kama kuchomoa betri.Ahaha ukakosa plan B ikabidi tuu iwe hivyo hivyo ,sema sometimes nyie mkiambiwa leo kuna tukio inakuwa wadogo na mnaanza kuchenga. Mfano huyo mtu wako angekuambia mapema, je ungeitikia wito?.