Jay47
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 294
- 286
nipm no. Yako ntakufundishaTusio elewa hizio App za dating tujuane, wengine tunaijua JF, na Facebook wasap na insta tumemaliza, sasa hizo app zote jaman unawezaje kuzimanage maana sometimes unakua bize hats ukitumiwa text kujibu shida,
Tupeane mbinu jaman mnawezaje kuwa na app nying kwenye cm na ukaweza kuzicontrol zote mm binafs cwez jaman