Dating sites: Siko Hapa Kudate

Dating sites: Siko Hapa Kudate

[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka maana na mimi enzi za ujana nilishawahi kufanya hivi, ila yule hakuniambia tunaenda wapi nilishtukia tu tumefika eneo la tukio

Ahaha ukakosa plan B ikabidi tuu iwe hivyo hivyo ,sema sometimes nyie mkiambiwa leo kuna tukio inakuwa wadogo na mnaanza kuchenga. Mfano huyo mtu wako angekuambia mapema, je ungeitikia wito?.
 
Ahaha ukakosa plan B ikabidi tuu iwe hivyo hivyo ,sema sometimes nyie mkiambiwa leo kuna tukio inakuwa wadogo na mnaanza kuchenga. Mfano huyo mtu wako angekuambia mapema, je ungeitikia wito?.
Kuna wanaume magentleman asikuambie mtu, alinielewa japo kwa mbinde ila sio kwa vitisho hivyo
 
Tusio elewa hizio App za dating tujuane, wengine tunaijua JF, na Facebook wasap na insta tumemaliza, sasa hizo app zote jaman unawezaje kuzimanage maana sometimes unakua bize hats ukitumiwa text kujibu shida,

Tupeane mbinu jaman mnawezaje kuwa na app nying kwenye cm na ukaweza kuzicontrol zote mm binafs cwez jaman
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna kuna wakati hata sisi tunakuwa na hamu[emoji87][emoji87]

Ahah sema sasa huwa mnashindwa kusema na hadi ulewe mwanaume inachukua muda, kuna mwanamke mmoja alikuwa ananipigia simu anasema nakuja kwako, unamuuliza kufanya nini ajibu kimya ahaha ,mara apige simu saa tano ety Tajirikichwa naumwa kichwa[emoji23]
 
Wanajiuza kule....wanaangalia watu wenye mawe ya kutosha
 
Sikizu wana magroup WhatsApp hatarii izo app za dating online Kama naziona zinavyo kufa taratibu
 
Ahah sema sasa huwa mnashindwa kusema na hadi ulewe mwanaume inachukua muda, kuna mwanamke mmoja alikuwa ananipigia simu anasema nakuja kwako, unamuuliza kufanya nini ajibu kimya ahaha ,mara apige simu saa tano ety Tajirikichwa naumwa kichwa[emoji23]
Yaani mpenzi wako anakuambia nakuja kwako unamuuliza kufanya nini?
 
Ila angekuambia akuonyeshe for free ungekubali na usingemuambia kuwa zimejaa online?
Hiyo kwangu haina tofauti na kupiga punyeto! Na kama naweza kupiga punyeto for free, why should I pay 50K for something that I can access for free! Ndo siku moja nipo kwenye my dating.app, mdada akani-text eti anaweza kunionesha her nude photos for 10K!! Nikamuuliza why should I pay you to see your nude photos wakati nude photos zimejaa online na gharama ni bundle tu!!! Hakurudi!
 
Tusio elewa hizio App za dating tujuane, wengine tunaijua JF, na Facebook wasap na insta tumemaliza, sasa hizo app zote jaman unawezaje kuzimanage maana sometimes unakua bize hats ukitumiwa text kujibu shida,

Tupeane mbinu jaman mnawezaje kuwa na app nying kwenye cm na ukaweza kuzicontrol zote mm binafs cwez jaman
Upo kama mimi yaani nina app nne tu kwenye simu yangu Jamii Forums, Instagram, Whatsapp na Telegram ila kuna nyingine inaweza pita miezi sijaingia kabisa hasa hasa Instagram na Telegram sasa hivi zipo tu kama mapambo na wala siyo kwamba nipo busy sana ila basi tu uvivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom