ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Hela nyingi for no good reason. Kule tuwaachie expats, pilots, captains na kada nyingine wanazolipwa kwa dola.Ingia exotic tz hela yako tu
Hela nyingi for no good reason. Kule tuwaachie expats, pilots, captains na kada nyingine wanazolipwa kwa dola.Ingia exotic tz hela yako tu
Kule laki sio kitu yani. Unashangaa unatajiwa 200k pumbavu mimi naitoa wapi asa..😂Hela nyingi for no good reason. Kule tuwaachie expats, pilots, captains na kada nyingine wanazolipwa kwa dola.
Siwaelewagi wale kabisa. Laki na nusu inatajwa kama kirahisi kama buku kha! Afu Tally hunter hayupo listed tena kule, ashakuwa superstar nini anatafutwa privately sahivi?Kule laki sio kitu yani. Unashangaa unatajiwa 200k pumbavu mimi naitoa wapi asa..😂
Hhaha watu wanafatwa privet mkuu. Washatengeneza umaarufu now hawawi listed wateja wanaflow PM tu haha.Siwaelewagi wale kabisa. Laki na nusu inatajwa kama kirahisi kama buku kha! Afu Tally hunter hayupo listed tena kule, ashakuwa superstar nini anatafutwa privately sahivi?
Maisha haya dah! Usishindane na mtoto wa kike aisee.Hhaha watu wanafatwa privet mkuu. Washatengeneza umaarufu now hawawi listed wateja wanaflow PM tu haha.
Tutafute pesa mzee mwenzangu hahahMaisha haya dah! Usishindane na mtoto wa kike aisee.
Naam.Tutafute pesa mzee mwenzangu hahah
na mzigo ukadukuliwa......[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka maana na mimi enzi za ujana nilishawahi kufanya hivi, ila yule hakuniambia tunaenda wapi nilishtukia tu tumefika eneo la tukio
Ukipenda kuamini hivyo sawana mzigo ukadukuliwa......
basi sawa...Ukipenda kuamini hivyo sawa
Ha ha ha!Ingia exotic tz
Mkuu mmoja niliwahi mtoa toka wilaya moja hapa Dar na kuvuka Wilaya nyingine kati hadi ya 3 nje kidogo ya mji. Tangu jioni ya saa 11 kanywa pombe kwa gharama zangu za kutosha...... kala mbuzi na michemsho ya kuku na samaki kwa kurudia rudia.... nimempeleka disco alilotaka kacheza huko na pombe juu tena. Mishale ya saa 7 usiku tunaenda huko tulikoenda ambako tulifika 8 kasoro hivi.... demu kagoma katakata kutoa mchezo. Nikamwambia vaa nguo zako nikusindikize uende kwenu, akavaa. Tukatoka nje anatangulia kwenye gari..... nikamwambia hiyo gari haitoki. tukatembea umbali wa dk 15 hadi kukuta barabara kuu na huko daladala huwa zinakata saa 4. Akajua mm namchukulia bodaboda nikamwambia hakuna cha boda boda hapa wala nn ww tambaa.... usiku ule alilia kilio kama kafiwa maana dizaini hakuwa na hela ya kutosha kuchukua bodaboda or taxi hadi kurudi wilaya ya 3 anakoishi. kwa kweli nilimwacha pale nikala zangu chochoro sijui aliondokaje siku hiyo.Inakera utie mtu nyege aingie gharama ..then ugome kutoa mchezo ahah lazima namna ifanyike kupoza machungu
Punguza ukali mkuu usipokula siku hiyo utapewa siku nyingine
[/QUO
Ulale unateseka kwa hopes za siku nyingine huo ni uboya mkuu
Ha ha ha!
Mkuu unamuelekeza kule kwa 50 USD per 30 Min.
Zero IQ mwenyewe na njaa zake zote kule anakuona kama kituo cha Polisi.
Mkuu mmoja niliwahi mtoa toka wilaya moja hapa Dar na kuvuka Wilaya nyingine kati hadi ya 3 nje kidogo ya mji. Tangu jioni ya saa 11 kanywa pombe kwa gharama zangu za kutosha...... kala mbuzi na michemsho ya kuku na samaki kwa kurudia rudia.... nimempeleka disco alilotaka kacheza huko na pombe juu tena. Mishale ya saa 7 usiku tunaenda huko tulikoenda ambako tulifika 8 kasoro hivi.... demu kagoma katakata kutoa mchezo. Nikamwambia vaa nguo zako nikusindikize uende kwenu, akavaa. Tukatoka nje anatangulia kwenye gari..... nikamwambia hiyo gari haitoki. tukatembea umbali wa dk 15 hadi kukuta barabara kuu na huko daladala huwa zinakata saa 4. Akajua mm namchukulia bodaboda nikamwambia hakuna cha boda boda hapa wala nn ww tambaa.... usiku ule alilia kilio kama kafiwa maana dizaini hakuwa na hela ya kutosha kuchukua bodaboda or taxi hadi kurudi wilaya ya 3 anakoishi. kwa kweli nilimwacha pale nikala zangu chochoro sijui aliondokaje siku hiyo.
Mi kutoka pale nikaenda kugonga mlango kwa chuma changu kingine mitaa yakati nikamaliza nyege zangu na kumalizia usingizi wangu wa saa 10 usiku.

Huu ni zaidi ya ukatili mkuu hakua tayari na ungelazimisha ni sawa na kubaka ni bora ungempa nafasi alale au ungemsindikiza hadi alipokua anakwenda na hakika angekuheshimu mileleMkuu mmoja niliwahi mtoa toka wilaya moja hapa Dar na kuvuka Wilaya nyingine kati hadi ya 3 nje kidogo ya mji. Tangu jioni ya saa 11 kanywa pombe kwa gharama zangu za kutosha...... kala mbuzi na michemsho ya kuku na samaki kwa kurudia rudia.... nimempeleka disco alilotaka kacheza huko na pombe juu tena. Mishale ya saa 7 usiku tunaenda huko tulikoenda ambako tulifika 8 kasoro hivi.... demu kagoma katakata kutoa mchezo. Nikamwambia vaa nguo zako nikusindikize uende kwenu, akavaa. Tukatoka nje anatangulia kwenye gari..... nikamwambia hiyo gari haitoki. tukatembea umbali wa dk 15 hadi kukuta barabara kuu na huko daladala huwa zinakata saa 4. Akajua mm namchukulia bodaboda nikamwambia hakuna cha boda boda hapa wala nn ww tambaa.... usiku ule alilia kilio kama kafiwa maana dizaini hakuwa na hela ya kutosha kuchukua bodaboda or taxi hadi kurudi wilaya ya 3 anakoishi. kwa kweli nilimwacha pale nikala zangu chochoro sijui aliondokaje siku hiyo.
Mi kutoka pale nikaenda kugonga mlango kwa chuma changu kingine mitaa yakati nikamaliza nyege zangu na kumalizia usingizi wangu wa saa 10 usiku.
Sio kwa ukauzu huu dah