Dating sites: Siko Hapa Kudate

Dating sites: Siko Hapa Kudate

Ishanikuta hio tatizo elimu

Umejiunga datiimg site halafu hutaki kutongozwa Ni ujinga huo
 
Siku moja nilikutana na mtoto mmoja pande za mikoa ya Kusini, nimemchukua hadi lodge alaf akanigomea kwamba yeye sio wa tabia hizo.

Sikuona tabu nikaoga nikakaa mezani nikapiga K vant yangu saafi, nilipoona aibu zimejipungua nikampa hela ya boda boda nikamwambia atoke nifunge nilale.

Akaanza kubisha nikawa mkali akatoka nikafunga, kesho yake asubuhi na mapema akaja kunigongea mlango anaomba tuongee, nikamsikiliza akaomba samahani kwa kunibembeleza kwamba hakujua kama ningechukia kiasi kile.
Baada ya mazungumzo sikutaka kula mzigo wala nini, niliingia kuoga, nikajiadaa kutoka nikamuaga naenda mizunguko yangu, hakuamini ikibidi aondoke pia japo kishingo upande, jioni yake huyu bila hata kupiga simu, night yake nilipewa mpaka fallopian tube.

Kilichomuumiza ni kwamba baada ya kunikatalia basi mi sikutaka ugomvi wala maneno, alaf ni mtu nilikua nae mawasiliano kwa kipindi kirefu sana ila sikuwahi kula mzigo, pia nilikua namheshimu sana wala sikuwahi kumvunjia heshima wala kumkwaza.
 
Wakuu hii kitu imekaaje?

Je ni kweli mtu anaweza kujisajiri kwenye dating site eti ili aongeeongee tu?
Ukikuta yupo huko ukaanza kumtongoza wewe ndo hujielewi.

Uliza bei, peana muda na location, piga pipe, lipia huduma, period !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom