Dating site Business in Bongo

naomba niku challenge kidogo
Ni idea nzuri ila utapata upinzani katika vitu vifiatavyo
Watu wanatumia fb sasa hivi kutongozana coz ni asilimia ndogo sana ya watanzania ambao wako willing kujitokeza hadharani kutafuta wenza
Cha msingi usianzishe date site anzisha social network
Ya kibongo
Yaani hiyo date site yako ibebe kivuli cha social network ya kibongo
Kama kutongozana ndio watu watongozane coz hata fb watu wanatafuta mademu au mabwana kwa kivuli cha kumeet FRIENDS
kampeni za kupiga redioni na kwenye tv ni nzuri ila
Ni vyema kampeni ukaipiga
Kwenye
vyuo
Udsm, udom ifm
Na kwenye mashule ya high school na secondary
Ni rahisi kupata watu
Ila ukisema uanzishe date site kama date site imekula kwako fb yenyewe kuna mengi yako nyuma ya pazia hatuyajui mark alivyoanzisha fb watu pale harvard wakawa wanaitumia kujipatia warembo ikakua ikakua na leo wote tunajua iko wapi
Mimi niko radhi ku invest katika hiyo site maana hapa jf wananibania ku invest
 
Back
Top Bottom