4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 22
Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nae mpaka nimjue vizuri. Hivi ni kama ni mume wa kweli siatanisikiza. Je ni lazima ku DO ndo ishara ya kumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help: