Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nae mpaka nimjue vizuri. Hivi ni kama ni mume wa kweli siatanisikiza. Je ni lazima ku DO ndo ishara ya kumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help:
Huyu bwana ananifahamu kwa takribani miaka minne sasa, he is my jirani. Kwa kweli mimi simjui vizuri maana tulikuwa tunakutana tuu njiani na kusalimiana hello, hello. Yawezekana kweli alitaka mzigo tuu, ila ninacho jiuliza ni kwamba amesha nifanyia mambo mengi tuu mazuri mazuri ambayo kwangu naona nikawaida tuu kwa mwanamme yeyote kumfanyia mwanamke. Sasa baada yakukaza kamba kaamua kuniambia eti tuwe marafiki tuu wa kawaida. Ila nikihitaji masaada wowote nisisite kumuuliza na ninakaribishwa home kwake anytime. Yawezekana yuko sirious ila ndo sijui niendeje nae...ila ku DO!Yeye anapokutangazia kukuoa anakujua?
maana inaonekana wewe humjui vizuri mpaka huwezi kumpa mzigo
sasa wewe hujiulizi yeye anapata wapi ujasiri wa kukuoa kabisa wakati hakujui vizuri!!!
anataka mzigo tuu huyo apite
kama vp mpe, afterall wote mtaenjoy......
ama anataka apime asije uziwa mbuzi kwenye gunia...
mpe tuu mwaya.
wewe si 4 by 4 by far?
sasa waogopa nini?
pita tu barabara zote
usiogope mashimo lol
Mpopo ndio nn?au ndio nazeeka
Unamaanisha nini makaratasi!!!
Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nae mpaka nimjue vizuri. Hivi ni kama ni mume wa kweli siatanisikiza. Je ni lazima ku DO ndo ishara ya kumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help:
Thanks kwa jibu lako zuri kakangu, na ndo maana mimi nachanganyikiwa kama nimpe au la. Mpaka sasa ameshasema ni vyema tuwe tuu marafiki kama zamani. Ila roho inauma maana ntamkosaa:love:
mpopo ni mnigeria
Jamani kaka zangu mbona mnakuwa wakali kama mbogo, sin:bored:mekuja kuuliza tuu kama dada yenu! Kwani hampendi mashemeji kutoka nchi zingine? Kuuliza sio ujinga, mwenye nia ya kunisaidia atanisaidia na mawazo.