Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,917
Reaction score
31,705
Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela, hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.

Msichana mzuri mchezee tu kisha muache , ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
 
Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela ,hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.


Msichana mzuri mchezee tu kisha muache ,ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.

Kwa hiyo ukipewa nafasi ya kuwashauri hao wanawake wazuri ili nao waolewe wafanyaje

Hapa kosa lipo kwa wote wanaume na wanawake kwa tunavyo tafsiri huo uzuri, mwanamke mzuri anahisi ni njia yake ya kupata avitakavyo ktk maisha kwa urahisi kwa kupitia uzuri wake (si wote lkn) na wanaume tuna dhana ya kutojiamini (si wote pia) kwa hao tunaowaona wazuri kwa dhana ya kuona wanatakiwa na wengi na 'deep down' tunahisi tutapata ushindani toka kwa vidume wengine kwa hiyo ni mapokeo ya jamii namna ya kutizama huo uzuri wa mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom