Database help

Database help

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Habari zenu wakuu.

Mimi natumia phpmyadmin katika kutengeza database huku nikiwa natumia dreamweaver kwa kunirahisishia kazi ya kuandika codes.

Nimetengeza site locally ambayo mlengo ni kujifundisha kutengeza dynamic site.

Site yenyewe ni mfano wa zile booking.com. Lakini sio advanced kama iyo, the process is simpler compared to booking.com, ninajua jinsi ya kuinsert data, retrieve, update and delete kwa kutumia dreamweaver. Kuna kitu kinanaumbua katika database, ni ivi;

Nataka database yangu ihold information zote za hoteli husika nazo ni;

Jina la hoteli,
Mahali ilipo hoteli,
Description ya Hoteli,
Picha ndogo kwa ajili ya description ya hotel,
Picha kwa ajili ya slideshow ya hio hoteli,
Facilities za hoteli (ambazo zitakuwa more than one na zitakuwa listed in <li> tag each)
Room types (pia zitakuwa list items na zitakuwa more than one)

Sasa hapo katika facilities na room types ndio zinanichanganya. Sijui structure ya database iweje kwa sababu kila hotel ina idadi tofauti ya facilities na room na ya mwenzake.

Kisha ni vp katika back end, nitaweza kutengeza input field ambayo kwa mfano, hotel A ina two facilities, basi automatically niweze kuadd another field ili kuongeza iyo facility, yaani niweze ku add another field ambayo nayo pia ita add data kwa hio hio table ya facilities.

Msaada wenu wakuu
 
Unachotakiwa kufanya ni kua na php file code ambalo litakua linatumika kufanya database conection kutoka kwenye wamp server kuja kwenye dreamweaver ambalo utatumia kukonect hizo data zako but make sure jina la db kwenye wamp server live ni same na jina katika php code utakazotumia kuita db yako
 
Back
Top Bottom