Data za mwenendo wa basi la Super Feo lililo pata ajali

Data za mwenendo wa basi la Super Feo lililo pata ajali

MshikjiFlaniHivii

Senior Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
117
Reaction score
339
Data za mwenendo wa basi la super feo lililo pata ajali leo asbuh kule hulia zimepatikana. Zinaonesha mama alikua mwendo kasi.. Na lilimshinda mbelenii alianza kukanyaga break za hatariii mara kwa mara.


IMG_20220522_211957.jpg
 
niliona twitter picha ya mkono, hakuna tena issue pale. umesagika mkono wote.

pole zao wote walioumia.
Nimetoka kuiona sahivi,kweli hakuna matumaini, mdada wa watu na alivo mzuri, hapo labda asomee urubani Sasa Mana ndege za siku hizi Zina oparate kwa joystick
 
Gari mpaka inapata ajali alikuwa speed 11 na kwa mwendo wa bus huyu Dada H hakuwa ameover speed hajafika ata 85 KPH hapo bado alikuwa ndani ya sheria.

Hiyo gari ingekuwa speed kubwa kwanza usiongeona gari ikiwa namna hiyo.

Nampa pole sana Dada H na pia kwa jamaa wote walioshiriki kutoa msaada mara baada ya ajali hii.
 
Nimeona ile picha mkuu life is meangless kabisa we acha alikuwa mzima Leo ndo ivyo 😥😥kazi hawezi Fanya Tena jamani jamani maisha ni mtihani sana kuna watu wanamtegemea miaka mitatu nyuma Kuna rafiki yangu wa kike alikuwa na Mzee wake nae alipata ajali kazini akakatika mkono wote kazi Aliachishwa maana ni wahindi maisha yalikuwa magumu mpaka kesho yaani na mzee mkono unamuuma analia sometime mpaka usiku
Gari mpaka inapata ajali alikuwa speed 11 na kwa mwendo wa bus huyu Dada Halima hakuwa ameover speed hajafika ata 85 KPH hapo bado alikuwa ndani ya sheria.

Hiyo gari ingekuwa speed kubwa kwanza usiongeona gari ikiwa namna hiyo.

Nampa pole sana Dada Halima na pia kwa jamaa wote walioshiriki kutoa msaada mara baada ya ajali hii.
 
Back
Top Bottom