DATA RECOVERY SOFTWARE

DATA RECOVERY SOFTWARE

Uninstall iyo mkuu then kwa ushaur zaidi ikia YouTube search for recuva check tutorial zake ujue jinsi ya kuitumia then kwa chini hope watakua wameweka link ya kudownload ipo simple Sana kuitumia
poa mkuu
 
Mkuu pole sana kwa kadhia.
1. Recover My Files
2. Stellar Phoenix Data recovery (Professional/Technical)
3. Wondershare
4. R-Studio 7.2 (Network Edition)
5. EaseUS Data Recovery Wizard
Hizo juu hapo nimewahi kutumia zaidi ya mara moja...
Nilitumia Stellar Phoenix zaidi ya miaka 15 iliyopita, na nadhani bado nia license yake. Sikuipenda kwa vile ilikuwa inarecover mafaili lakini kwa kuyapa majina mengine kabias, kwa mfano f105.mp3

Jana nilifanya makosa nilitaka kuformat USB hard drive moja ambayo nadhani ilikuwa drive L, nikakosea nikaruhusu format ifanyike kwenye drive K ambayo ilikuwa na data zangu takriban 1TB. Nikanunua EaseUS $69 plus tax, na ikascan disk ile kwa kama saa tatu hivi, ikafukua mafaili hata niliyofuta karibu miaka 10 iliyopita. Tatizo lake inabidi uwe na disk nyingine ya kusevu mafaili yatakayokuwa recovred, bahati nzuri nikawa nina SSD drive F ambayo ni 2 TB na ilikuwa karibu tupu. Nikachagua mafaili ninayojua tu karibu 800GB, yale yaliyofutwa miaka kumi iliyopita nikaayacha.

Aisee EaseUS imeyapakua yote kama vile hakuna kilichotokea. Unahitaji muda tu, kwani kuscan ilikuwa kama masaa matatu, na kurecover pia ni kama masaa matatu.
 
Back
Top Bottom