DATA RECOVERY SOFTWARE

DATA RECOVERY SOFTWARE

samuel faraj

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
1,326
Reaction score
1,269
Habarini wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni data recovery software ipi nzuri isiyokua na limit ya data recovery( free unlimited data recovery) au mwenye crack za hizo software kama Ease us

Nimejaribu kutumia Ease us inafanya kazi poa ila iko limited to 500MB otherwise hadi ku upgrade

Natanguliza shukrani
 
Tafuta Recuva pro.
ningekusaidia crack bahati mbaya kwa sasa nina kitochi tu hapa.
 
Tumia active recovery software ni nzuri zinapatikana torrents with key
 
Na hili tartizo la files kuwa na size ya 0 bytes baada ya kurecover mnalifix vipi?
 
Mkuu pole sana kwa kadhia.
1. Recover My Files
2. Stellar Phoenix Data recovery (Professional/Technical)
3. Wondershare
4. R-Studio 7.2 (Network Edition)
5. EaseUS Data Recovery Wizard
Hizo juu hapo nimewahi kutumia zaidi ya mara moja...
 
Huwa natumia zaidi ya Software zaidi ya moja kupata ufanisi wa kazi... Wakati mwingine hii italeta file lime-corrupt na software nyingine linakuja vizuri...
Sina hakika sana kama nimekusaidia...
 
Mkuu pole sana kwa kadhia.
1. Recover My Files
2. Stellar Phoenix Data recovery (Professional/Technical)
3. Wondershare
4. R-Studio 7.2 (Network Edition)
5. EaseUS Data Recovery Wizard
Hizo juu hapo nimewahi kutumia zaidi ya mara moja...
hazihitaji cracks?...hiyo ease us nimeitumia imerecover 500mb pekee ikadai licence
 
Bila shaka zinataka crack...
Recover My Files v3.9.8.5178 inataka keys.. Hizi hapa:
SamLab.ws
8154-0BF0-E6E3-0AC7-5FB0-956C-916D-662D-1D6D-BCD7-EDB4-5193-D5E1-4185-04BF
------------------------------------------------------------------------------
Name: Andrew Trevis
Serial Number: 00000G-XPAQ1T-5V91Y4-5HCKDN-42YW35-CY6JD9-TQQQ16-MVCXV4-QEJY9C

Name: Adrian Cortland
S/n: N74H0P-05H5QG-6NPVZD-6FGZMT-3BM0DP-RVYG0U-W4UJTX-1YF1MH

Thanks bro za ease us pia unaweza kua nazo unisaidie
 
Tafuta Recuva pro.
ningekusaidia crack bahati mbaya kwa sasa nina kitochi tu hapa.
Mi pia uwa natumia hii inarudisha hata mavitu ambayo ujawahi kuyaweka kwenye device yako
 
hiyo recuva mbona mimi inagoma ina load tu
Uninstall iyo mkuu then kwa ushaur zaidi ikia YouTube search for recuva check tutorial zake ujue jinsi ya kuitumia then kwa chini hope watakua wameweka link ya kudownload ipo simple Sana kuitumia
 
Back
Top Bottom