Angalau halotel wako vzr, unapga *150*88# vocha na vifurushi unachagua 1, me huwa najiunga mara tatu cha buku napata GB 3 bac wiki nzma naenjoy tu video, kuperuzi na speed iko vzr tu co hao wajinga tigo.
Angalau halotel wako vzr, unapga *150*88# vocha na vifurushi unachagua 1, me huwa najiunga mara tatu cha buku napata GB 3 bac wiki nzma naenjoy tu video, kuperuzi na speed iko vzr tu co hao wajinga tigo.View attachment 1347239