Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
Inawezekana Wana boresha kila siku. Mimi nilinunua 1/2/2020
Naona ule MKWARA ulisaidia!Inawezekana Wana boresha kila siku. Mimi nilinunua 1/2/2020
Hii ni size yako kila mtu ana yake.
TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
Halotel pesa MEGA bundle.Salaaam kwenu nyote,
Naamini hapa jf nitapata msaada wa kujulishwa kifurushi chenye mb/gb za kutosha maana mimi nimeshindwa napendelea vya mwezi au wiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
mboba unapigwa sana kulwa yaani gb 1.5 kwa 5000 kwelii?Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Hichi kifurushi kilikuwa 2500Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Hichi kilikuwa sh. 1500TIGO napata Gb 1.5 kwa sh. 3000 kwa wiki.
Ndio nazopata my dia,mwanzo nilikuwa natumia halotel GB 10 kwa elfu 10 lakini line imepoteamboba unapigwa sana kulwa yaani gb 1.5 kwa 5000 kwelii?
Ndio nazopata my dia,mwanzo nilikuwa natumia halotel GB 10 kwa elfu 10 lakini line imepotea
Airtel ndio bure kabisa
Voda sijawahi kufatilia
Hela yote hiyo wanakuonea Sana[emoji1]Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week