Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,626
- 9,726
Wakuu ninaomba msaada wa kurejesha picha nilizohamishia kwenye pc kwa cut and paste mana kwenye pc zinakuja na size ya 6gb halafu ukifungua zina goma kuview, any tools guys that is helpfull to recover those photos