Dashboard ya 3broadband connecting"Hakuna haja tena ya kuchakachua modem" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dashboard ya 3broadband connecting"Hakuna haja tena ya kuchakachua modem"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Uncle Rukus, Jun 18, 2011.

 1. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  • Hizi Dashboar ziko mbili tofauti, ipo ya Huawei kwa modem zote za Huawei, download dashboard
  For all other Huawei dongles on Windows XP, Vista and 7 Download hapa here
  [​IMG]

  • Pia ipo ya ZTE ambayo ni maalumu kwa modem za ZTE tu.
  [​IMG]

  For
  For all other ZTE dongles on Windows XP, Vista and 7 Download hapa
  here


  • Haya ni maelezo mafupi ya jinsi ya kuinstall dashboard ya ZTE.

  Umkifanikiwa umsisahau kupress Thanks or like


   
 2. Dazyd2f

  Dazyd2f Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu big up xana hapo umetukosha ...........upo mbele.....
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu...Vipi umeshapakua na kujaribu? kumbuka kudownload dashboard sahihi kwa modem yako, usidownload ya ZTE kwa Modems za Huawei.
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Thanks, Let me try!
   
 5. g

  gwambali JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Unlce umenifaa sana kaka! nimepakua ya ZTE imekubali kwenye modem ya K3565-Z...Nimetupia kitu cha Airtel, maisha raha mustarehe
   
 6. l

  lyimoc Senior Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja nijaribu, nitarudi na feedback.
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hebu mtu anayetumia hizi modem mpya za tigo atupe feedback please. ndio tuseme hii software ina-zi-override hardware restrictions?
  something that my little knowledge could not grasp yet.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  poa mkuu...yule secretary wako yupo?...hhahahaa
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yeah! yupo sana mkuu.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sidani kama utaweza kukwepa lock kwa staili hii, hizi instructions ni kwa watumiaji wa 3 ya UK, si za kuunlock modem. So probably utaweza kuitumia kwenye modem unlocked au modem kwenye network yake, uchakachuaji bado utahitajika kama unataka uhame network.
   
 11. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndio safi sana mkuu! lakini kwa ujuzi wangu apa hii ni faidi 2 kwa wale wenye modem kama za vodafone K versions au modem ambazo dashboard ndo iko locked lakini sio modem ambao iko customized frimware bado iyo k2 sijaona mtu akipata ufumbuzi... but anyway subiri watu walete feed back tuone
   
 12. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wakuu tunataka feedback. mwenye modem mpya ya tigo please!!!
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naona wametokomea pasipo kuleta majibu!
   
 14. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu imekunali kwenye modern ya tigo ipo poa sema jamaa wanaservice zao nyengine
   
 15. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unakusudia kusema modem mpya ya tigo imekubali au.......? na umeweza kuingia internet kwa kutumia laini nyengine isiyokuwa ya tigo?
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mkuu, shukran kwa feedback yako, ila maelezo yako hayajatitosheleza, tungependa kujua umejaribu kwenye toleo lipi la modem za tigo, maana kuna toleo la mwanzo na ili jipya ambalo uchakachuaji wake ni mgumu kidogo. Je umejaribu kuweka line ya mtandao mwingine kwenye hiyo modem na ikafanya kazi vizuri kwa kutumia dashboard ya 3broadband?
   
 17. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  naona naye ameshapotea. nyie mlokuwa mkilia mnataka unlock code ya modem ya tigo muko wapiiiii............ feedback please
   
 18. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu sijasepa but maisha bila ya umeme....mkuu line yengine zimekataa mimi nina tumia modern mpya ya tigo...nimejaribu kuweka line yengine ya airtell imegoma kusoma kabisa...nimejaribu kufanya utundu wangu imegoma...mkuu kama kuna mtu anaweza kuunlock modern mpya tigo aseme hata kama anaona noma kusema basi ani MP please wakuu ngoma ngumu
   
 19. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  so still no 100% solution for customized firmware ....mh...lets wait soon tutafika tu
   
 20. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jama kwani mmeambiwa ni lazima kununua modem za Tigo tu?Mbona voda,zantel,wote wanauza modem zao 25,000/= na hazizingui!
   
Loading...