Jama kwani mmeambiwa ni lazima kununua modem za Tigo tu?Mbona voda,zantel,wote wanauza modem zao 25,000/= na hazizingui!
TUtasubiri mkuu...siyo usepemodem za Tigo kuichakachua ni raisi sana...will post an attachment soon kuwezesha mpango mzma..ila make sure your attempts are not more than ten..coz yo modem itakuwa locked n you wil need to update a firmware that makes the whole process complex..
nime install zote mbili zinafanana display na features kwa maana kwamba zote mbili ni kitu kimoja na zina soma huawei zte inagoma. kuna kitu nimekosea?
kitu kinajipa, wewe tu..wakuu tunataka feedback. mwenye modem mpya ya tigo please!!!
Unamaanisha nini mkuu? toa maelezo toshelezi kama kwa modem mpya za tigo imekubali kwa simcard zinginekitu kinajipa, wewe tu..
asikudanganye mtu. hata kama atakwambia modem mpya za tigo zimekubali mjibu ''SIDANGANYIKI". modem za tigo zimekuwa locked kwenye firmware jambo ambalo haliwezekani kulikimbia kwa kutumia software.Unamaanisha nini mkuu? toa maelezo toshelezi kama kwa modem mpya za tigo imekubali kwa simcard zingine
modem ya zantel uichakachue utumie simcard gani nyengine ya cdma?
hiyo ya voda vipi nayo ni model gani na jee inaweza kuwa unlocked? please help