DART wameomba SUMATRA nauli ziwe kati ya 1,200 - 1,400

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,204
KUNA TANGAZO JAMAA WA UDART WAMEOMBA KWA SUMATRA NAULI IWE 1200-1400. MRADI MZIMA FEKI WASHINDI WA TENDA FEKI MPAKA MMEMFUKUZISHA MKURUGENZII..KWA KURUHUSUU UPATIKANAJI WA MSHINDI AMBAE LEO HII ANAOMBA NAULI YA AIBU KABISA KAMA SIO WATANZANIA

EMBU DK TUMBUA DART BANA KUNA NINI

IMG-20160103-WA0014.jpg
 
Last edited by a moderator:
hivi bei ya Dar kwa sasa umbali kama huo wanaotaka hizo bei ni kiasi gani kwa usafiri mbadala wa public
 
MIEZI SITA SI UNANUNUA PASSO BADALA YA KUNUFAISHA UDART
 
MBEZI POSTA KARIAKOO 700

SASA KMR KRKOO 600 LEO BILA HAYA 1200

MBEZI POSTA KRKOO ATI 1400. SHAME N U ALL

KILA ANAEENDA MJINI ASIPUNGUE NA 6000 USINIULIZE ANAKULA WAPII
 
kama huwezi, nunua gari yako uendeshe mwenyewe wese alfu 20 kila siku kwenda na kurudi kazini ndio utapata akili. mbona bia mnanunua alfu mbili mia tano moja, na mnakunywa hadi kumi, iweje mtu akubebe kwenye gari yake toka mbaali huko hadi posta kwa buku mia nne unaona garama? hiyo nauli ni sawa tu na nusu ya bei ya bia mnazobwia. pengine ndio mtapunguza na kulewa sana ili mbane hela kwaajili ya nauli. alaa
 
mbona bia mnanunua alfu mbili mia tano moja, na mnakunywa hadi kumi, iweje mtu akubebe kwenye gari yake toka mbaali huko hadi posta kwa buku mia nne unaona garama?
........Anayekunywa bia nani? Wanaofanya kazi mjini sii wote wanywaji.**** kama wewe..... usidhalilishe watu, 1200 kubwa,,
 
Labda gari zingine zipigwe marufuku vinginevyo DART itakuwa biashara kutupwaa.Kwa haraka 1400X2 unatakiwa kuwa na elfu 3.Hapo lazima ukae.
 
kama huwezi, nunua gari yako uendeshe mwenyewe wese alfu 20 kila siku kwenda na kurudi kazini ndio utapata akili. mbona bia mnanunua alfu mbili mia tano moja, na mnakunywa hadi kumi, iweje mtu akubebe kwenye gari yake toka mbaali huko hadi posta kwa buku mia nne unaona garama? hiyo nauli ni sawa tu na nusu ya bei ya bia mnazobwia. pengine ndio mtapunguza na kulewa sana ili mbane hela kwaajili ya nauli. alaa
Km huna hoja ni bora ku shut-up ur mouth. Kwan nani kakuambia kila mtu anakunywa izo bia? Kwan ambapo daladala nauli zake nyingi ni chini ya 1000 watu hawanywi bia si basi ingekuwa zaid ya iyo 1000 coz watu toka muda wanakunywa bia. Jenga hoja inayojali ustawi wa jamii yako sio kuongea vitu ambavyo kesho mradi ukidoda utaanza kulalamika tena
 
hiyo ni nauli reasonable kabisa kwa mfanyakazi wa kawaida. mtu wa hali ya chini kabisa anaweza. wewe unapofikiri hawawezi, kuna watu hapo ubungo utakuta taxi zimepaki buku mbili hadi posta zinasanya kila siku na watu wanapanda. noah pia zinashanya sana kutoka kariakoo hadi mbezi alfu tatu. kuunganisha magari kumaliza alfu mbili au tatu ni kitu cha kawaida. hayo mabasi ni ya garama, hayajaokotwa, na si ya babu yako, ukitaka kizuri lazima ukigarimie, ulitaka wawatoze mia tano halafu wapate wapi faida ili wa maintain hayo magari na kununua mengine mapya? na zaidi ya yote kuna muda kampuni hiyo itakuwa listed DSE ili ununue hisa na wewe umiliki. na wakitoza hiyo ndio mtapata na akili ya kufanya kazi mtafute hela muache uvivu. mtu mchapakazi hawezi kusema anakosa hiyo hela kwa siku moja. acheni utani.
 
kama huwezi, nunua gari yako uendeshe mwenyewe wese alfu 20 kila siku kwenda na kurudi kazini ndio utapata akili. mbona bia mnanunua alfu mbili mia tano moja, na mnakunywa hadi kumi, iweje mtu akubebe kwenye gari yake toka mbaali huko hadi posta kwa buku mia nne unaona garama? hiyo nauli ni sawa tu na nusu ya bei ya bia mnazobwia. pengine ndio mtapunguza na kulewa sana ili mbane hela kwaajili ya nauli. alaa
tatizo masikini hakipata ndo maneno yake
 
hata wewe ukipata utakuwa hivihivi, na hautapata hadi ukione cha moto cha kulipa alfu mia nne, ndio na bidii ya kutafuta pesa itaongezeka.
 
Km huna hoja ni bora ku shut-up ur mouth. Kwan nani kakuambia kila mtu anakunywa izo bia? Kwan ambapo daladala nauli zake nyingi ni chini ya 1000 watu hawanywi bia si basi ingekuwa zaid ya iyo 1000 coz watu toka muda wanakunywa bia. Jenga hoja inayojali ustawi wa jamii yako sio kuongea vitu ambavyo kesho mradi ukidoda utaanza kulalamika tena
Mradi utadoda kwa kuendekeza porojo za kiukawa
 
hao wanaolalamika ni wachache sana. wewe ukiona unachelewa kwenda kazini na hauna gari, nakuapia hata wangesema buku tano utapanda tu. mbona kuna kuwa na foleni hapo watu tunaogopa kuchelewa ofisini tunapanda bodaboda hadi posta kwa alfu kumi? everyday....kama unafikiri hiyo nauli ni kubwa sana, waulize bodaboda.
 
kama huwezi, nunua gari yako uendeshe mwenyewe wese alfu 20 kila siku kwenda na kurudi kazini ndio utapata akili. mbona bia mnanunua alfu mbili mia tano moja, na mnakunywa hadi kumi, iweje mtu akubebe kwenye gari yake toka mbaali huko hadi posta kwa buku mia nne unaona garama? hiyo nauli ni sawa tu na nusu ya bei ya bia mnazobwia. pengine ndio mtapunguza na kulewa sana ili mbane hela kwaajili ya nauli. alaa
Hivi wewee unazani watu wote wapo kwenye hiyo level ya kuwa na hela ya kunywa bia!!! Nani anakunywa bia!? kwa taarifa yako watu wa level ya chini ndio wanategemea hayo mabasi ambapo kwao 1200 ni kubwa sana... Na hao ndio wapo wengi. Sio unakuja hapa unabwabwajaa tuuu.
 
nani anasafiri kwenda posta kazini kila siku na hana uwezo kumiliki alfu mia mbili ya nauli ya kwenda, kama hivyo basi itabidi serikali iwatambue ili muwekwe kwenye kundi maalumu na msaidiwe kabisa na serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom