brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 988
- 1,504
Babu ngasoma ?? Mso.... /Godfather ??Ukiishi vizuri na Watu utakuwa salama na kupata ulinzi wa kuaminika.
Babu wa Ngasom, chakula hataki kupikiwa na yeyote yule zaidi ya mke na watoto, si walikuwa wakimcheka Jiwe kupikiwa na mkewe,
Halafu imekuwaje yule Bibi wa mipasho moyo wake umetanuka, presha juu juu, vyakula anakula vya kuchangua kwa torch, hata akisimama kwenye microphone akiwa anaongea anahema balaa,
mbona wakati yupo selo bado yoga alikuwa anaandika tu! ukute yoga ni yule Mbunge viti maalum aliyekata MotoTangia akamatwe yule mwandishi aliekuwa anauza huu Uzi huko X, Uzi huu umestack...yule ndie YOGA?
Ongeza nyama kidogo mkuu..Kuna MTU anauguzwa,tumtakie AFYA njema
weka hata kwa codeKuna MTU anauguzwa,tumtakie AFYA njema
VP au?Kuna MTU anauguzwa,tumtakie AFYA njema
Sio kweli.Tangia akamatwe yule mwandishi aliekuwa anauza huu Uzi huko X, Uzi huu umestack...yule ndie YOGA?
Atakuwa mbiNchiweka hata kwa code
Kakake aliendaga wapi?Hivi faster×2 bado yupo kweli? Zamani walishamaliza
Duh nae kimya tenaKakake aliendaga wapi?
Hii ni real au AI
Anakagua office yake mpya inayojengwa daslaam !najiuliza kwani mpango was kila kitu dom uliishia wapi!!?Kuna MTU anauguzwa,tumtakie AFYA njema
RealHii ni real au AI
Hamna lolote na kuuendeleza huu Uzi ni sawa na kudeki bahati tu,hamna kitu anakijua huyo mleta uziUzi ume stack.. mipango ni kama imetulia. Timing zinaendelea.