Dark days 17/03/20

Mi nilimwambia hakuna lolote
Hakuna cha shoot to kill
Hahaha πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†
Ndo alisema wataua,ht watu wachache walioandamana sijaona waliuluwa
Ukapimwe IQ aisee kama hata kujiongeza kidogo umeshindwa,kwa picha ya leo kweli umeona any threat ya kutumia nguvu yoyote kwa hivyo vyombo achilia nguvu kubwa, mngeacha kumsumbua mtoa uzi mkaanzishe za kwenu na nyie muunge unge ,acheni wanaoelewa anachoandika ,sio kila info ni kwa kila mtu ,wengine mpk mlishwe vyote hii ni kwa wenye akili
 
Nimekuwa namkubali sana Yoga ila sasa naanza kumuona kama ana lake jambo sababu hii stori imeanza kuleta picha kuwa CEO wa sasa haya yaliyotokea hakuyabariki bali kalazimishwa na kundi la mtoa zawadi.
Mimi nilishawaaambiaga hapa huyu nia yake ni kuja kuzubaisha hapa na kwa hilo ameweza.
Just remember aliongelea kuhusu ile Jumamosi sijui nini alaf kaja na vitu tafaut ambavo wala sio vipya..
Na kabla ya hapo mkwara alokua anachimba ooh order imetolewa shoot to kill alikua ana focus sana hapo..

Sisi tuliosoma Saikolojia tulishamuelewa tangu mwanzoni yupo ktk huu uzi kwasababu gani.

Mtanzania chukua hatua pambania nchi yako kwa vitendo na sio kukaa kusubiria miujiza!
 
....yake ni kuja kuzubaisha hapa na kwa hilo ameweza.....
Mtoa zawadi kajipanga Hata wale dissdents walioko Ng'ambo, ni projects zake. Kuna mtu aliuliza bi Dada msema ovyo...aliwahi kushambulia Matunda ya mtoa zawadi live? Jibu sikupewa....the so called 'sauti ya radi' Hata na 'expired kitengo' naye ni projects za mtoa zawadi!!!

The "gudi singi' mtoa zawadi ana sucession plan robust!!!

Image kama mtoa zawadi alikuwa amemuweka kwapani "muhabhana" ...Kuna kazi ndogo hapo?
===
Acha tuchezewe shere...hadi tupate mfalme wa Thailand.
 
”Kazi kwako, Fuata yako au Fuata yangu‼”
 
I think haujanielewa
Maana ni km unaongea same thing tulichoongea ila hujaelewa kilikotokea
 
Uzuri ht mtoa zawadi ajipange tu ....hahaa
 
Tayana ni kweli hii mambo au? Mbona mleta uzi alisema mzima wa afya au ndio Bradiga satay imeshafanya kazi? Nachoka mimi mjukuu wa Clemence
Ila nacheka
Kipindi cha magu ilikuwa hivihivi mtu ana hali mbaya mpk anaondoika wanakaa kimya!after 10 days+wanakuja kutuambia

Naomba kuuliza ,hivi wafungwa huwa wanapewa msamaha na rais lini?

Hakafu kwann pm ndo anaveba majkumu ta rais na sio vice?
 
Kazi ipo....
Ila Tanzania inatoka mikononi mwa wahuni hawawezi kutubagaza hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…