maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,066
- 4,683
Ndio mfumo ulivyo mkuu mkubwa ili aishi lazima amle mdogoInakuwaje kwenye Sehemu zenye rasilimali huwa kuna kuwa na waasi, vita na mapambano ya kila aina, angalia Sudan ya Khartoum, kundi moja ana fadhili Marekani, kundi la pili Saudi Arabia anafadhili, wanapiganishwa, huku hao mabwana zao wakichukua rasilimali za Wasudan kiulani
Waliouwawa wengi walikua nyumbaniJamn kuna SMG mpya za kisasa kabisa msijaribu watu wanazifanyia mazoezi ya shabaha tulieni nyumban haya
Akija niiteMuda bado yoga ?
Lazima nikushitue ndugu yangu wa karibu.Akija niite
Katekwayoga kipenzi
Kinachonishangaza hii nchi kwamba bado kuna utekaji unaendeleaau Yoga ndie Buyobe nini aliyetekwa jana..si nguvu ile iliyotumika kumsaka.!
Sikio la kufaKinachonishangaza hii nchi kwamba bado kuna utekaji unaendelea