Born town bruesels finalizing dealsJiulize tu swali rahis kabla ya wewe kupata majibu siku ya jmosi, we unadhani kwanini kibri ni kingi?? 😂😂
Kwao Hali haikuwa shwali pia baada ya zoezi la 52020192. Kumbuka msema sana alimalizia ziara zake huko!!!
Ili mda woote awe njwiii, ila hata kvant si ingetosha tuu.Mmme mchanganya mpaka kaagiza macallan velario adami 1926 😂😂😂
Salazenu wandugu!!
Hao watu hawahitaji hayo machafuko kuja kuchota rasilimali wakitaka watazipata hasa kwa uwepo wa hawa viongozi vilazaJe KJ+RA wanatumiwa na mashirika ya kijasusi ya nje kuichafua na kuingawanya nchi ili, wafaransa, Wamarekani, Waarabu, Warusi, Waingereza wafanye uporaji wa rasilimali za nchi kiulani bila bughdha yoyote au?
Inakuwaje kwenye Sehemu zenye rasilimali huwa kuna kuwa na waasi, vita na mapambano ya kila aina, angalia Sudan ya Khartoum, kundi moja ana fadhili Marekani, kundi la pili Saudi Arabia anafadhili, wanapiganishwa, huku hao mabwana zao wakichukua rasilimali za Wasudan kiulaniHao watu hawahitaji hayo machafuko kuja kuchota rasilimali wakitaka watazipata hasa kwa uwepo wa hawa viongozi vilaza
Think out of the boxJe KJ+RA wanatumiwa na mashirika ya kijasusi ya nje kuichafua na kuingawanya nchi ili, wafaransa, Wamarekani, Waarabu, Warusi, Waingereza wafanye uporaji wa rasilimali za nchi kiulani bila bughdha yoyote au?
CorrectlyFatilia vzr utaona Kila trending utaikuta humu mtoa mada analazimisha kuendana na huu uzi
😁 😁Correctly
Nchi ilipofika ,kama yupo wa kuawasaidia wananchi hawa wa tz , kutoka na kulitoa tz hapa tulipo hata akitaka kisiwa mojawapo ndani ya nchi apewe tu ,Inakuwaje kwenye Sehemu zenye rasilimali huwa kuna kuwa na waasi, vita na mapambano ya kila aina, angalia Sudan ya Khartoum, kundi moja ana fadhili Marekani, kundi la pili Saudi Arabia anafadhili, wanapiganishwa, huku hao mabwana zao wakichukua rasilimali za Wasudan kiulani
Dah hii code anayeweza kui decode tafadhari. Walau kidogo.Kwao Hali haikuwa shwali pia baada ya zoezi la 52020192. Kumbuka msema sana alimalizia ziara zake huko!!!
Ukisha tegua VC tayari kazi imeisha.kidogo
Number hizo nahis ni tarehe ya kuhakiki mkeka walio bet ndani ya mwezi wa BT kuzaliwa. So hapo analenga kilichotokea hiyo siku na haya matawi yaliyo dondoka namna yalivyo chafua uwanja.Dah hii code anayeweza kui decode tafadhari. Walau kidogo.