The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,843
- 10,369
yoga kuna chochote chema kwa Watanzania baada ya huyu mama kutuumiza?
Yaani nauliza,kuna namna ya kumuumiza na yeye ?
Hii ngoja niirudie hapa."Mtasahau" ndio msemo mkuu
Nilichogundua nikuwa huyu yoga yeye anatoa up-date ya kinachoendelea huko chumbani na ukiangalia kwa makini kweli hakuna namna neno la faraja linaweza toka kwasababu kama ni la kutoka lingetoka siku ya uapisho au siku ya kumuapisha AGmsitegemee kuombwa samahani au kutumka kwa lugha ya kuwapooza kwa yaliyotokea!!
"Mtasahau" ndio msemo mkuu
Kwaiyo idara yetu ni weak kiasi hiki ? kubuluzwa na watu wachacheOnly God is the only hope!! That's all!!
Kwamba na media zote zimepigwa block No kusema sema waliouawaOnly God is the only hope!! That's all!!
Kwamba na media zote zimepigwa block No kusema sema waliouawaOnly God is the only hope!! That's all!!
So you are suggesting we start praying???Only God is the only hope!! That's all!!
Kilichobaki ni kutafuta mitutu tuwindane sasa
Ukiskia Polepole anakwambia wahuni wameteka kila sehemu kupitia pesa Nguvu ya Umma tu ndo inaweza kukomboa nchi pekee hakuna taasisi yoyote ambayo inaweza kufanya chochote vyombo vyote ya Dola vina pokea maelekezo ya wahuniKwaiyo idara yetu ni weak kiasi hiki ? kubuluzwa na watu wachache
That is what you meant when you said we are cookedMaigizo yawe tamthilia yazae attention.
Ni kweli kabisa tutasahau, ila kwa hili hatuta sahau kama yale mengine.msitegemee kuombwa samahani au kutumka kwa lugha ya kuwapooza kwa yaliyotokea!!
"Mtasahau" ndio msemo mkuu