Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Ukidai haki yako ni vyema ukatimiza wajibu. Haki yako isiwe adhabu na kero kwenye haki za wengine. Demokrasia tunaitaka lakini si ya kuturudisha nyuma kwa kidogo tulichonacho. Kama unajiona bingwa wa demokrasia za kuchoma vitu anzeni kuchoma kwa mabingwa wa Demokrasia huko Marekani halafu muone moto wake. Siku zote Simba akilala usidhani ni nyau.🙏