Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 366
- 652
Eti Yoga mabakamabaka top Leaders trilioni 3 zilitembwezwa nchi zima?ππ kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! πππ
Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.
washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikieπ
Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!
Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!
Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!
Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! π
Tukutane December!!!
They are not safe, and they won't beyoga asante sana, ingawa wengi wetu mioyo ina kidonda kibichi.
Vipi unawashauri nini ndugu zetu kama, Sativa, Twaha Mwipaya, Hilda Newton, Baba Askofu Emmaus Mwamakula na wana harakati wengine wenye kuitetea haki, kweli, utawala bora nk nk ndani ya Taifa letu
Je watakuwa salama kiasi gani?
Kuna yapi unaona yakitokea mbeleni? Mpasuko au amani itatawala?Read between the lines my dear!! Ungejua ...........
Who and who?I Think that is a very minor issue, just pray for your country, it's officially now owned by two persons!!
I Think that is a very minor issue, just pray for your country, it's officially now owned by two persons!!
Muongo muongo huyu, anatunga story kutokana na situation.Watch and see!!
For the time being kibri, majivuno and pain to citizens!! Get ready bumpy road ahead
Mkwele na m7 ? Au kanji wa gesiI Think that is a very minor issue, just pray for your country, it's officially now owned by two persons!!
Mafanikio ya mpango upi sasa ?Succession plan#