Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
HayaUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
BalaaaCoded message
Ongeza mengine tena unayoyajua mkuuHii taarifa ni ilidecodiwa kutoka katika coded dream.
Loh...Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Daah hii imepitajepitaje bila kusemwa humu?Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Nikiweka original version ya huu ujumbe utanihisi kichaa wengine watasema nimevuta bangi... Kiufupi hakuna ninalolijua ila nilijitahidi kudecode kulingana na upepo mwenendo wa mambo yanavyokwenda kampunini.Ongeza mengine tena unayoyajua mkuu
Basi hongera kwa karama uliyo jaaliwa na Mwenyezi Mungu. Katu usikubali ipotee huenda ikaja saidia watu wengine.Nikiweka original version ya huu ujumbe utanihisi kichaa wengine watasema nimevuta bangi... Kiufupi hakuna ninalolijua ila nilijitahidi kudecode kulingana na upepo mwenendo wa mambo yanavyokwenda kampunini.
2020 ...posts 710.Amina amina...
Unaweza kuwalaumu 'wateja' kama ukitumia hisia,mhemko,papara,hasira na pupa! Ila ukitumia fikra tunduizi huwezi kuwalumu coz wametengenezwa kuwa hivyo!shida ni hao "wateja"
DuuuhUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
DuuuhUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
RamliUjumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
Yooga beibeTukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
Click to expandTukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡