Dark days 17/03/20

Последние дни Мастера сочтены. Патриоты системы решили его судьбу. Он не может этого избежать.

"Теперь это его последний конец.
Posledniye dni Mastera sochteny. Patrioty sistemy reshili yego sud'bu. On ne mozhet etogo izbezhat'. Teper' eto yego posledniy" konets.
 
The Master's last days are numbered. The patriots of the system have decided his fate. He cannot escape it.

"Now this is his final end.
The Master's last days are numbered. The patriots of the system have decided his fate. He cannot escape it. Now this is his last" ends.
 
Si ungewapa waiweke kwenye ilani ama haukuwepo Tanzania?

Usikute nayo ni code hii
 
Wakristo kutoka mataifa (uncircumcised gentiles christians), kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, hawakutakiwa kuishika sabato ya siku ya saba (Matendo ya mitume sura ya 15, na sura ya 19: 20-25). Kama wanataka, wanaweza kusali au na kufanya ibada siku hiyo, na baada ya hapo kuendelea na shughuli zao za kawaida za kidunia.

Kama wanataka wanaweza kusali au na kufanya ibada siku yoyote ya wiki, including siku ya kwanza ya wiki (Jumapili), na baada ya hapo kuendelea na shughuli zao za kawaida za kidunia. Ila siku ya kwanza ya wiki sio sabato, na pia siku ya kwanza ya wiki sio siku ya Bwana, ingawa Bwana Yesu Kristo alifufuka siku hiyo. Note that siku zote za wiki ni za Bwana, na siku ya saba ndio specifically siku yake.

Wakristo wote wayahudi na mataifa (jews and gentiles christians), wataishika sabato ya siku ya saba, kila wiki, wakiwa mbinguni kwa miaka 1,000, miaka hiyo 1,000, kwa ujumla wake, pia ni sabato ya miaka 1,000 mbinguni.

Pia wakristo wote (jews and gentiles christians), wataishika sabato ya siku ya saba, kila wiki, milele yote, wakiwa Yerusalemu mpya, kwenye dunia mpya na mbingu mpya. Pia milele yote hiyo, kwa ujumla wake, ni sabato ya milele.
 
Kuna Script zimeshaandaliwa kupitia huu Uzi zinatengenezwa kwa Stage mbalimbali, kwa Sasa tuko stage ya Awareness and confusion, hii ni stage ya kundi kupata uhalali wa wanachotaka kukitimiza na Kwa hilo Wamefanikiwa pakubwa katika Jamii kutengeneza Awareness and confusion,
Muda ni mwalimu na Tanzania itakombolewa japo hiyo December ya yoga Iko planned inawezekana tujiandae kutawaliwa KIJESHI baada ya Kila kitu kukamilika
 
Huu uzi sasa naanza kuusoma upya kama vile tunavyo review cctv! I think yoga ni taasisi sio mtu! Huu uzi msishangae ukaja kuwa referred bungeni ule muda wa ruler ukifika. Ni hadithi but based on true story! Hii nchi ni too complicated aisee!
Na mimi naona kama nianze upya kusoma hivi.
 
Naona kuna code huku zilisemwa Polepole anaendelea kuzifafanua Yooo yooo lisemwalo lipo kama halipo laja natetemeka aisee
Tunajuaje labda Yogo ndio Mr slow slow mwenyewe ?
 
Utashangazwa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…