Dark days 17/03/20

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
 
What's next in our political ground? Is there any major events likely to occur prior to commencements of political campaign, is there any major political figure likely to succumb either due to diseases or any other issue?.
 
Hii imekaa poa sana, na cm nazima kabisa
 
Not in this continent. Bi Joyce is enjoying the fruits, doesnt care bout so called hand to mouth dwellers
 
Kwamba Koplo dunia ni wa kwa KP na labda mijadala na hoja za mapenzi kwa kampuni imekuwa ni geresha tu? Kazi ni nzito. Tunaye dhani ni adui labda ndiye mlinzi mkuu wa maslahi ya kampuni dhidi ya K.P na mabwana zake.
 
Wanamtandao, wahuni, Mafisadi Papa
Msingi na malengo yao ni
Hadaa.
Ulaghai.
Dhuluma na
Ubinafsi wa hali ya juu unaolazimisha wao wapate kwa hasara ya Watanzania
By HP
 
Kwamba Koplo dunia ni wa kwa KP na labda mijadala na hoja za mapenzi kwa kampuni imekuwa ni geresha tu? Kazi ni nzito. Tunaye dhani ni adui labda ndiye mlinzi mkuu wa maslahi ya kampuni dhidi ya K.P na mabwana zake.
Dadeq hapa nimetoka kapa
 
Anaejua tafsiri ya hii plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…