Capital letter "G" is for the only Heavenly Father (God). Hao wengine wasiojua nini kitatokea baada ya sekunde tano wape small letterama God father
Ngoma bado 0 kwa 0 kwa maoni yangu ya kiroho, hakuna BT wala nani ,nyakati zimefika mtashangaaYoga ni muongoπ
Yoga Mpiga ramliπ
Yoga hamna anacho jua π
Yote ni sawa na NI kweli πππππ
Kwa sababu hii ni adithi.....
na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company
Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.
Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO
kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,
Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
....Ngoma bado 0 kwa 0 kwa maoni yangu ya kiroho, hakuna BT wala nani ,nyakati zimefika mtasha
Samia Lazima ashinde uchaguzi, iwe kwa kura za wananchi au za kuiba, chadema waendelee kujifariji na kampeni yao tuu wakati huu ndo ulikuwa muda wao kuingia hata bungeni baada ya kula moto kwa nguvu 2020sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN
anaogopa, jamaa wanaweza kuku feed infor peke yako, wakazikuta popote wanajua mvujishaji ni nani.. wapo makini kweli hasa hiki kipindi hiki wanawindana kweliHasemi siku hizi yoga sijui kahamishwa section. Mara aseme tunasubiri meli airport.
Tunamtaka yoga wetu wa kumwaga codes zilizoluwa zina aksi ukweli
Yoga kaishapoteana kitambo.. Kwa lugha ingine ka expire.. Awamu ya kwanza ya uzi huu alipata kwa sehemu na sio accurate 100% kuna mahala alikuwa ana wrong info.. na kuna sehemu alikuwa right.. Issue sasa hivi hata kama anapata info ni hot awezi kuongea hapa ataliwa kichwa asubuhi namepamaa..Hata ye Kuna mambo hajui
Anakwambia 5 Tena kelele ,Bado mambo mengi yanakuja hajuiπ
Current hana, na kama anazo hawezi thubutu kuongea kesho atajikuta na chatu peke yake... jamaa now wana jipa info kishenzi kujua yupi ni yupi.. unaweza ambiwa jambo peke yako, sasa wakalisikie kwingine.. ndio utaelewa maana ya kiapomkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .
Yoga ni muongoπ
Yoga Mpiga ramliπ
Yoga hamna anacho jua π
Yote ni sawa na NI kweli πππππ
Kwa sababu hii ni adithi.....
na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company
Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.
Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO
kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,
Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
Hahaha kumbe anaogopaYoga kaishapoteana kitambo.. Kwa lugha ingine ka expire.. Awamu ya kwanza ya uzi huu alipata kwa sehemu na sio accurate 100% kuna mahala alikuwa ana wrong info.. na kuna sehemu alikuwa right.. Issue sasa hivi hata kama anapata info ni hot awezi kuongea hapa ataliwa kichwa asubuhi namepamaa..
Aanzie wapi kusema, huenda kuna taarifa sensitive ukawa nazo kuliko Yoga. Kinachomtoa mama wengi hawakijui, na wanaokijua wametulia kwasababu wanajia mwisho wa mchezo utakuwaje.. Ni kama vita ya Matowashi walipo enda muua Queen Jezebel.Hahaha kumbe anaogopa
Aiseee Bado unawaza cdm ,mambo ya vyama?Samia Lazima ashinde uchaguzi, iwe kwa kura za wananchi au za kuiba, chadema waendelee kujifariji na kampeni yao tuu wakati huu ndo ulikuwa muda wao kuingia hata bungeni baada ya kula moto kwa nguvu 2020
Sentensi ya mwishoYoga ni muongoπ
Yoga Mpiga ramliπ
Yoga hamna anacho jua π
Yote ni sawa na NI kweli πππππ
Kwa sababu hii ni adithi.....
na kwenye hadithi hii nawakumbusha kuwa, Kuna mtu anaitwa Mr born town, ama God father, uhusika wake ndani ya hadithi hii ni kuwa he is the master mind and he knows each and everything that happens in the company
Current CEO baada ya kushiriki kumuomdoa late CEO alianza kupambana kumondoa THE GOD FATHER and by surprise found out that she can't take him down and if she wish....... She needs time.
Ili ku by time, na kuandaa mpango kabambe anaamua ku comply na the God father, ambaye naye Kesha wakusanya the internal security agency ya campuni na kuwapa maelezo dhidi ya current CEO na team late CEO
kuna kundi la team late CEO wanapambana bila maaaarifa kum take down the present CEO na GOD father wake. changamoto wanasalitiana sana,
Fund pia ya kupush movement ndani ya kampuni haipo
sasa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,
kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
ilaaaaa....,.. hizo 5 years to come thing will be differently!!
Hy hatma ya nchi itajengwa bila viongozi?Aiseee Bado unawaza cdm ,mambo ya vyama?
Hamuwezi ht kufikiri kuhusu hatma ya nchi kwanza?
ahahaha ,Mungu bwana ana namna yake ....na wengi tu wanajua mwisho wa mchezo ila wameamua kupiga kimya...Aanzie wapi kusema, huenda kuna taarifa sensitive ukawa nazo kuliko Yoga. Kinachomtoa mama wengi hawakijui, na wanaokijua wametulia kwasababu wanajia mwisho wa mchezo utakuwaje.. Ni kama vita ya Matowashi walipo enda muua Queen Jezebel.
Haitafika hata .....km kwenye matendo ya mitume 12 paleSentensi ya mwisho
Ndo maana watu wanatoa ushauri na kupiga kelele baadhi ya vitu virekebishwe kupata hao viongozi ambao wako vzr laa sivyo Hali sio shwariHy hatma ya nchi itajengwa bila viongozi?
Hii vita ni ya Mungu, kama Mungu huwa anashindwa basi wataendelea kutawala, na history itaandikwa Mungu kabalagazwa na wahuni.. ama sivyoo basi moto utalamba watuahahaha ,Mungu bwana ana namna yake ....na wengi tu wanajua mwisho wa mchezo ila wameamua kupiga kimya...