Dark days 17/03/20

Mitego yote ni kama kumpiga chura teke 🀣🀣🀣
Hapa nimegundua watu tunaongea Kwa context Kona 2 tofauti 😊😁
Kuna ambao ndo wako huko ndani wanaongea yajayo kulingana na Hali huko ndani kwao Ilivyo sijui ndo wa system.....

Halafu Kuna wale ambao tunachangia kutokana na majira na nyakati ya Mungu kwenye nchi yanataka nn!(Spiritual)
Nyakati hizi hazihitaji mtu wa aina ya "Vashti" yanajitaji mtu km "Esta"...
Ukisoma biblia kitabu Cha Esta Kwa mfano huu,utanielewa


Hapa ndo tofauti ilipo!
 
Hahahahaha kuna kitu nimegundua
yoga yuko upande wa Mitano tena
Halafu hawa akina britanicca hawa ndio wako tofauti na mitano tena

Ni mchezo wa kwenye coridor huu
Tunashukuru Mungu Hana upande ila anaenda na majira na nyakati zake, SS kujua hizi ni nyakati Gani, majira Gani kwenye nchi ni issue nyingine.,..

Hawa wako huko wanaongea kutokana na wanayoyaona huko....
Sisi hatuendi Kwa kuona.....asikiae na afahamu 🀣🀣🀣

Sina mwanasheria
 
Tayana-wog 🌹
 
Ngoja kwanza tufanye reform kwenye bus letu la kijani, reform za katiba tutafanya siku za usoni.

No reform, election okay πŸ‘πŸ‘ŒπŸ”₯πŸƒπŸƒ
 
Tupe yanayoendelea basi tajiri?
πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.

washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikieπŸ˜€

Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!

Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!

Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!

Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! πŸ˜‚

Tukutane December!!!
 
Mbona kama na wewe umeshapata huo mlo kamili,maana
 
Ni Kweli hayo wameyapanga wao na wamejipanga, ila sisi tunapangua pia🀣🀣Kwa dola ya juu kabisa
 
Walau umenipa moyo mtumishi
 
Tumtangulize MUNGU,Mimi Kwa kusoma majira na nyakati naona kabisa hatoboi na akilazimisha hatoboi mifive
 
Binafsi nimefunga mjadala nasubiri hiyo december
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…